Results for deceit translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

so he lured them with deceit.

Swahili

basi akawateka kwa khadaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and led them (to the tree) by deceit.

Swahili

basi akawateka kwa khadaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but satan promises them nothing but deceit.

Swahili

na shet'ani hawapi ahadi ila ya udanganyifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus satan brought about their fall by deceit.

Swahili

basi akawateka kwa khadaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what the unbelievers have been promising one another is nothing but deceit.

Swahili

lakini madhaalimu hawaahidiani wao kwa wao ila udanganyifu tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you will always witness deceit from them, except for a few of them.

Swahili

na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and you will still observe deceit among them, except a few of them.

Swahili

na huachi kuvumbua khiana kutokana nao, isipo kuwa wachache miongoni mwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for our exhortation was not of deceit, nor of uncleanness, nor in guile:

Swahili

jambo tunalosisitiza kwenu si jambo linalotegemea uongo au nia mbaya; wala hatupendi kumdanganya mtu yeyote.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in fact, whatever the unjust promise each other is nothing but deceit."

Swahili

lakini madhaalimu hawaahidiani wao kwa wao ila udanganyifu tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

you must not consider your oaths as means of deceit to benefit one party and incur loss upon the other.

Swahili

mnavifanya viapo vyenu kuwa ni njia ya kudanganyana baina yenu kwa kuwa ati taifa moja lina nguvu zaidi kuliko jengine?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not argue for those who harbour deceit in their hearts, for god does not love the treacherous and the iniquitous.

Swahili

wala usiwatetee wanao khini nafsi zao. hakika mwenyezi mungu hampendi aliye khaaini, mwenye dhambi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the devil promises them and arouses desires in them; and the devil does not give them promises except of deceit.

Swahili

anawaahidi na anawatia tamaa. na shet'ani hawaahidi ila udanganyifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thefts, covetousness, wickedness, deceit, lasciviousness, an evil eye, blasphemy, pride, foolishness:

Swahili

uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you resort to oaths as instruments of mutual deceit so that one people might take greater advantage than another although allah puts you to the test through this.

Swahili

mnavifanya viapo vyenu kuwa ni njia ya kudanganyana baina yenu kwa kuwa ati taifa moja lina nguvu zaidi kuliko jengine? hakika mwenyezi mungu anakujaribuni kwa njia hiyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

their throat is an open sepulchre; with their tongues they have used deceit; the poison of asps is under their lips:

Swahili

makoo yao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu, midomoni mwao mwatoka maneno yenye sumu kama ya nyoka.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

beware lest any man spoil you through philosophy and vain deceit, after the tradition of men, after the rudiments of the world, and not after christ.

Swahili

angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si kristo mwenyewe!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in fact, their deceit seems good to the disbelievers and are prevented from the path; and whomever allah sends astray, so there is none to guide him.

Swahili

bali walio kufuru wamepambiwa vitimbi vyao na wamezuiliwa njia. na ambaye mwenyezi mungu amemwacha apotee basi hana wa kumwongoa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and call to mind when the hypocrites and all those with diseased hearts said: “all that allah and his messenger had promised us was nothing but deceit.”

Swahili

na walipo sema wanaafiki na wale wenye maradhi katika nyoyo zao: mwenyezi mungu na mtume wake hawakutuahidi ila udanganyifu tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and be not as a woman who breaks her thread, after it is firmly spun, into fibres, by taking your oaths as mere mutual deceit, one nation being more numerous than another nation.

Swahili

wala msiwe kama mwanamke anaye uzongoa uzi wake baada ya kwisha usokota ukawa mgumu. mnavifanya viapo vyenu kuwa ni njia ya kudanganyana baina yenu kwa kuwa ati taifa moja lina nguvu zaidi kuliko jengine?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely the hypocrites strive to deceive allah, and he shall requite their deceit to them, and when they stand up to prayer they stand up sluggishly; they do it only to be seen of men and do not remember allah save a little.

Swahili

hakika wanaafiki wanamkhadaa mwenyezi mungu, na hali ni yeye ndiye mwenye kuwakhadaa wao. na wanapo inuka kusali huinuka kwa unyong'onyo, wanajionyesha kwa watu tu, wala hawamdhukuru mwenyezi mungu ila kidogo tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,910,127,168 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK