Results for decline in food availability translation from English to Swahili

English

Translate

decline in food availability

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

or is what appears to be a gradual decline in blogging simply because of social media and changing norms?

Swahili

au hiki kinachoonekana kuwa kushuka kwa kublogu ni kwa sababu ya kubadilika kwa utamaduni na uandishi wa kiraia?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for years we afflicted pharaoh's people with shortages in food so that perhaps they would take heed.

Swahili

na hakika tuliwaadhibu watu wa firauni kwa miyaka (ya ukame) na kwa upungufu wa mazao, ili wapate kukumbuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

malawi has for the past ten years registered a sharp decline in the use of beira port in mozambique, according to traffic statistics sourced from the port’s authority.

Swahili

katika miaka kumi iliyopita malawi imesajili kupungua sana kwa matumizi ya bandari ya beira nchini msumbiji, kwa mujibu wa takwimu za usafiri silizopatikana kutoka kwa mamlaka ya bandari hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a report from cornelder de mozambique, the company that won a 25 year-long concession from the government of mozambique in 1998 to run the port, points to a sharp decline in the use of the port by malawian exporters and importers.

Swahili

taarifa kutoka kwa cornelder de mozambique, kampuni ambayo ilipata zabuni kutoka kwa serikali ya msumbiji mwaka 1998 ya kuendesha bandari hiyo, zinaonyesha kupungua kwa kasi kubwa katika matumizi ya waagizaji na wasafirishaji kwenda nje wa malawi kwenye bandari hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the story has grabbed the attention of bloggers and online activists as it comes amidst a climate of decline in freedom of the press in the country and, since, as writer and blogger laila lalami reminds us, it isn't an isolated incident:

Swahili

habari hiyo imenasa macho ya wanablogu na wanaharakati wengine wa mtandaoni hasa katika kipindi hiki ambapo uhuru wa vyombo vya habari uko katika hali tete nchini humu na wakati huo huomwandishi na mwanablogu laila lalami anatukumbusha, kwamba hilo siyo tukio pekee:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and in the earth are regions neighbouring and gardens of vines and cornfields, and palm-trees clustered and single, watered by the same water; yet some we make to excel others in food.

Swahili

na katika ardhi vimo vipande vilivyo karibiana, na zipo bustani za mizabibu, na mimea mingine, na mitende yenye kuchipua kwenye shina moja na isio chipua kwenye shina moja, nayo inatiliwa maji yale yale. na tunaifanya baadhi yao bora kuliko mengine katika kula.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

report on environmental problems affecting food production introduction: the environment plays an important role in food production. however, in our environment in the country, there are several environmental problems that can affect food production. this report aims to identify these problems and make recommendations on how to address them in order to ensure food security and farm viability. problems and recommendations: land degradation: problems: arthritis

Swahili

ripoti ya matatizo ya kimazingira yanayoathiri uzalishaji wa vyakula utangulizi: mazingira yanacheza jukumu muhimu katika uzalishaji wa vyakula. hata hivyo, katika mazingira yetu nchini, kuna matatizo kadhaa ya kimazingira ambayo yanaweza kuathiri uzalishaji wa vyakula. ripoti hii inalenga kubainisha matatizo hayo na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuyatatua ili kuhakikisha usalama wa chakula na ustawi wa kilimo. matatizo na mapendekezo: uharibifu wa ardhi: matatizo: uharibifu wa ar

Last Update: 2024-04-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,878,511,454 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK