From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and he said, that which cometh out of the man, that defileth the man.
akaendelea kusema, "kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia najisi.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
these are the things which defile a man: but to eat with unwashen hands defileth not a man.
hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi. lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu najisi."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
not that which goeth into the mouth defileth a man; but that which cometh out of the mouth, this defileth a man.
kitu kinachomtia mtu najisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. hicho ndicho kimtiacho mtu najisi."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and there shall in no wise enter into it any thing that defileth, neither whatsoever worketh abomination, or maketh a lie: but they which are written in the lamb's book of life.
lakini hakuna chochote kilicho najisi kitakachoingia humo; wala mtu yeyote atendaye mambo ya kuchukiza au ya uongo hataingia humo. ni wale tu walioandikwa katika kitabu cha uzima cha mwanakondoo ndio watakaoingia ndani.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and the tongue is a fire, a world of iniquity: so is the tongue among our members, that it defileth the whole body, and setteth on fire the course of nature; and it is set on fire of hell.
hali kadhalika ulimi ni kama moto. umejaa maovu chungu nzima, unayo nafasi yake katika miili yetu na hueneza ubaya katika nafsi zetu zote. huteketeza maisha yetu yote kwa moto utokao jehanamu kwenyewe.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: