Results for define translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

wikipedia lo define como:

Swahili

wikipedia inatafsiri dhana hiyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

clearly define the meeting, have an agenda, and send reading materials in advance.

Swahili

fafanua mkutano kwa wazi, kuwa na ajenda, na utume mapema nyenzo za kusoma.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

she looks at ways kenyans can reclaim their story and define themselves on their own terms:

Swahili

huchunguza jinsi wakenya wanavyoweza kukomboa simulizi lao na kujiainisha kwa kuweka masharti yao wenyewe:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

however you define this work, we believe that what we're doing has value and makes a difference.

Swahili

haijalishi namna utakavyobainisha kazi hii, tunaamini kuwa kile tunachokifanya kina thamani na kinabadilisha mambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

stop giving people too much information about yourself so that they will not define your life. trust nobody .life is full of fake people

Swahili

acha kuwapa watu habari nyingi kukuhusu ili wasiweze kufafanua maisha yako. uaminifu hakuna mtu .maisha yamejaa watu bandia

Last Update: 2021-02-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

asking this question is dangerous and trying to define a muslim is futile and would invariably lead to exclusion of many who do not belong to the sect of the person who is asking the question.

Swahili

kuuliza swali hili ni hatari na kujaribu kufafanua maana hasa ya muislamu kunaweza kuwa hakuna maana yoyote na kunaweza kusababisha kutengwa kwa wengi wasiokuwa dhehebu la mtu anayeuliza swali hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

develop distance learning rules and monitor students’ learning process: define the rules with parents and students on distance learning.

Swahili

unda sheria za mafunzo kupitia njia za kimtandao na fuatilia utaratibu wa wanafunzi kujifunza: fafanua sheria na wazazi na wanafunzi kuhusu masomo kupitia njia za kimtandao.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the minister has a good case when she argues that nigeria is overlooking a lot of positives, has not been telling her stories and is making the mistake of letting the world define her image based on its notoriety alone.

Swahili

waziri alikuwa na shauri zuri aliposema kuwa naijeria haiyatazami mengi yaliyo chanya, haielezi simulizi zake na inafanya makosa ya kuiachia dunia kufafanua taswira yake inayoelemea kwenye sifa zake mbaya pekee.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as kenya, or any other country, we should define who we are, what we stand for, what we expect of other countries we interact with, and what we will and will not accept.

Swahili

kama wenyeji wa kenya ama nchi nyingine ile, tunafaa kujiainisha, kueleza msimamo wetu, kueleza tunayotarajia kutoka kwa nchi zingine tunazoshirikiana nazo, na kutaja yale tutakayokubali na yale ambayo hatutayakubali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if we're waiting upon a small piece of plastic to define morality, then we've already failed – and ought to find a better definition.

Swahili

na kama tunasubiri kipande kidogo cha plastiki kifafanue uadilifu, basi tumeshashindwa – na ni budi tutafute ufafanuzi mzuri zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

...there is not a clause in this article, which defines the term "obscenity" and "neither government administrators nor the courts were legally compelled to specify what constituted "obscene material".

Swahili

...hakuna kifungu kwenye ibara hii, kinachotafsiri neno "ukosefu wa maadili" na "si watawala wa serikali wala mahakama zililazimishwa kufafanua kile kinachoitwa "vitu visivyo vya kimaadili".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,652,805,569 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK