From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
gratification, defined.
kutosheka, ndio elezo lake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
something defined or considered, amazing or entertaining
makorokocho
Last Update: 2019-08-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
any sharing of data with third parties would have to be defined in law;
lazima kushiriki data yote na wahusika wengine ufafanuliwe kwa sheria;
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
none has found any indication of plagiarism no matter how loosely this word is defined.
hakuna mfasiri aliyeona hata dalili kidogo ya wizi wa kitaaluma hata kwa kujaribu kuchukua maana ya mbali kabisa ya neno hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we have no defined system and the country is built on very useless people instead of strong institutions and good principles of governance.
hatuna mfumo unaoeleweka na nchi imejengwa kwa watu wasio na maana badala kujengwa kwa taasisi imara na kanuni nzuri za utawala.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the organization and monitoring of these elections are not clearly defined yet and parliamentary elections have already been postponed from the initial proposed schedule.
wakati huohuo jinsi uchaguzi huo unavyoweza kuandaliwa na kusimamiwa ni suala ambalo halijaeleweka vema na tayari tarehe ya uchaguzi wa wabunge imekwishaahirishwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i hope that when president obama evaluates the impact of keystone on the environment, he does so in broad strokes, not in a narrowly defined minimum norms and standards type of way.
ninatarajia kwamba rais obama anapotathimini madhara ya keystone kwa mazingira, anafanya hivyo kwa mtazamo mpana, na sio kwa mtazamo mwembamba wa viwango na mazoea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rcgp rsc’s surveillance with phe is defined as health protection under regulation 3 of the health service (control of patient information) regulations 2002.
uchunguzi wa rcgp rsc na phe unafafanuliwa kuwa ulinzi wa afya chini ya kanuni ya 3 ya kanuni za huduma ya afya (udhibiti wa maelezo ya mgonjwa) za 2002.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
both run organizations defined by "power verticals", although it was a different russian leader who is said to have famously queried "the pope?
wote wawili wanaendesha taasisi kwa "amri za kutoka juu", ingawa mtawala mmoja wa urusi anayesemekana kuwa aliwahi kutofautiana na papa?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
indians are living longer, and the number of silver citizens is increasing. according to a 2011 government of india report , india's "grey population" (defined as 60 years old and up) is likely to increase its share of the total population from 7.4 percent in 2001 to 10 percent by 2026.
wahindi wanaishi maisha marefu, na idadi ya wazee vikongwe inaongezeka...kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2011 iliyoandaliwa na serikali ya india, "idadi ya wazee wa kihindi wenye mvi" (inayoweza kutafsiriwa kama umri wa miaka 60 na kuendelea) inawezekana kuendelea kuongezeka miongoni mwa raia wa nchi hiyo kutoka asilimia 7.4 mwaka 2001 kufikia asilimia 10 mwaka 2026.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting