Results for delivering translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

delivering

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

delivering a message.

Swahili

na zinazo peleka mawaidha!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

consider delivering the letter by hand!

Swahili

ni vizuri zaidi barua ifike kwa mkono!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the messenger is responsible only for delivering the message clearly.

Swahili

na hapana juu ya mtume ila kufikisha ujumbe wazi wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

delivering thee from the people, and from the gentiles, unto whom now i send thee,

Swahili

nitakuokoa na watu wa israeli na watu wa mataifa mengine ambao mimi ninakutuma kwao.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

who were delivering the messages of allah, fearing him and fearing none except allah.

Swahili

(hao wa zamani) walio kuwa wakifikisha risala za mwenyezi mungu na wanamwogopa yeye, na wala hawamwogopi yeyote isipo kuwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and i persecuted this way unto the death, binding and delivering into prisons both men and women.

Swahili

niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata njia hii. niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

challenges in delivering critical childbirth and newborn care services were specially great in tacloban and leyte.

Swahili

changamoto katika huduma muhimu za kujifungua na kutunza watoto wachanga huduma zilikuwa sawa katika tacloban na leyte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

may we welcome hon elias chipimo, narep president to officially address this house by delivering end of year message from narep.

Swahili

elias chipimo, rais wa (chama cha) narep ili aweze kulihutubia bunge hili rasmi kwa kutoa salaam za mwisho wa mwaka kutoka chama cha narep.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

messengers delivering good news, and bringing warnings; so that people may have no excuse before god after the coming of the messengers.

Swahili

mitume hao ni wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya mwenyezi mungu baada ya kuletewa mitume.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

who were delivering the messages of god, and were fearing him, and fearing not any one except him; and god suffices as a reckoner.

Swahili

(hao wa zamani) walio kuwa wakifikisha risala za mwenyezi mungu na wanamwogopa yeye, na wala hawamwogopi yeyote isipo kuwa mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu ndiye atoshaye kuhisabu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in particular, those polled thought the government was performing well or very well in managing the economy, reducing crime and delivering basic services in terms of health, clean water, roads and education.

Swahili

kwa mujibu wa matokeo hayo, wale waliotoa maoni yao wanadhani serikali ilikuwa inafanya vizuri au vizuri sana kwenye kusimamia uchumi, kupunguza uhalifu na kutoa huduma za msingi za jamii kama vile afya, maji safi, barabara na elimu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the first president of uganda, dr. milton obote, was ousted in a manner similar to niyombare's attempt, while delivering a speech at a commonwealth meeting in singapore in 1971.

Swahili

rais wa kwanza wa uganda, dk. milton obote, aling'olewa kwa namna inayofanana na ile iliyotumiwa na niyombare, wakati akitoa hotuba kwenye mkutano wa commonwealth nchini singapore mwaka 1971.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(it is) only a delivering (of communications) from allah and his messages; and whoever disobeys allah and his apostle surely he shall have the fire of hell to abide therein for a long time.

Swahili

ila nifikishe ujumbe utokao kwa mwenyezi mungu na risala zake. na wenye kumuasi mwenyezi mungu na mtume wake, basi hakika hao watapata moto wa jahannamu wadumu humo milele.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,765,471,973 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK