From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
"trinidad and tobago is a wealthy small island developing nation rich in oil and natural gas.
“trinidad na tobago ni kisiwa tajiri na nchi inayoendelea tajiri kwa mafuta na gesi asilia.
the people who lived before them were stronger than them in might, in tilling, and in developing the earth.
nao walikuwa na nguvu zaidi kuliko wao, na wakaitimbua ardhi na wakaistawisha zaidi kuliko walivyo istawisha wao.
analyzing those binding sites provide the reasonable project of developing effective antiviral drug against covid-19 proteins.
kuchambua maeneo hayo ya kuunganisha hutoa mradi mzuri wa kutengeneza dawa bora ya kuzuia virusi itakayotoa protini za covid-19.
people have tested positive for the disease up to three days before onset of symptoms suggesting transmission is possible before developing significant symptoms.
watu wamepimwa na kupatikana chanya kwa ugonjwa hadi siku tatu kabla ya kuonekana kwa dalili inaonyesha kuwa kusambazwa inawezekana kabla dalili nyingi hazijatokea.
around 29 january 2020, janssen pharmaceutical companies, led by hanneke schuitemaker, announced that it had begun work on developing a vaccine.
tarehe 29, januari 2020, janssen pharmaceutical companies, wakiongozwa na hanneke schuitemaker, walitangaza kuwa walianza kushughulikia kutengeneza chanjo.
during the current global financial crisis, immigration from developing countries has been blamed by several political parties as the source of unemployment in their countries.
wakati wa mgogoro uliopo wa hali mbaya ya fedha duniani, uhamiaji kutoka nchi zinazoendelea umelaumiwa na vyama kadhaa vya kisiasa kuwa ndiyo chanzo cha ukosefu wa ajira katika nchi hizo.
all of these have the capacity to change the moral perception of the youth’s developing minds, bringing them to confusion on what is right or wrong.
hivi vyote vina uwezo wa kubadili akili inayokua ya vijana, na kuwafikisha kwenye kuchanganyikiwa juu ya lipi ni sahihi na lipi si sahihi.
in my opinion the problem in the discussion about climate change is that while developed countries are struggling to be sustainable, developing countries are already klimatsmarta, but not by choice.
kwa maoni yangu tatizo linalojitokeza katika mjadala kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ni kwamba wakati nchi zilizoendelea zinafanya bidii kuwa endelevu, nchi zinazoendelea tayari zipo klimatsmarta, sio kwa kuchagua.
at the same time, revenue must urgently be directed to rural infrastructure, to increasing farm prices and developing agro-processing industry, on a scale not previously attempted.
katika wakati mmoja, mapato lazima yaelekezwe kwenye miundo mbinu ya vijijini, kuongeza bei za mazao ya mashambani na kuendeleza viwanda vya kusindika mazao, katika kipimo ambacho hakikuwahi kujaribiwa kabla.
on the other hand, chinese aid has been well-received in parts of latin america and africa.on 2 april, the world bank launched emergency support operations for developing countries.
kwa upande mwingine, msaada wa uchina imepokewa vizuri katika sehemu za marekani ya kilatini na afrika.tarehe 2 aprili, benki ya dunia ilianzisha shughuli za msaada wa dharura kwa nchi zinazoendelea.
if you're interested in developing a more in-depth understanding of japan, these blogs, many written by expert expats, are a great place to start.
kama unahitaji kukuza uelewa wa kina kuhusu japan, blogu hizi ambazo nyingi zimeandikwa na watu waliobobea, ni uwanja mzuri wa kuanzia.