Results for devour translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and you devour the inheritance greedily,

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and devour the inheritance devouring greedily,

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and ye devour heritages with devouring greed.

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and you devour (others') inheritance greedily,

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they listen eagerly to falsehood, and devour forbidden things voraciously.

Swahili

hao ni wasikilizaji kwa ajili ya kusema uwongo, na ni walaji mno vya haramu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(they like to) listen to falsehood, to devour anything forbidden.

Swahili

hao ni wasikilizaji kwa ajili ya kusema uwongo, na ni walaji mno vya haramu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you see many of them race with one another in sin and transgression and devour the unlawful.

Swahili

na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but if ye bite and devour one another, take heed that ye be not consumed one of another.

Swahili

lakini ikiwa mtaumana na kutafunana kama wanyama, jihadharini msije mkaangamizana wenyewe kwa wenyewe!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

believers, do not devour usury multiplied many times over. fear god, so that you may prosper,

Swahili

enyi mlio amini! msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but a certain fearful looking for of judgment and fiery indignation, which shall devour the adversaries.

Swahili

linalobaki ni kungojea tu kwa hofu hukumu ya mungu na moto mkali utakaowaangamiza wote wanaompinga.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not devour usury doubling and quadrupling it; and fear allah, hoping that you achieve success.

Swahili

msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many of the rabbis and monks wrongfully devour mankind's possessions and hinder people from the way of allah.

Swahili

hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia njia ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

o believers, devour not usury, doubled and redoubled, and fear you god; haply so you will prosper.

Swahili

enyi mlio amini! msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

which devour widows' houses, and for a shew make long prayers: the same shall receive greater damnation.

Swahili

huwadhulumu wajane huku wakisingizia kuwa wema kwa kusali sala ndefu. hao watapata hukumu kali zaidi!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

devour not usury, doubled and multiplied; but fear allah; that ye may (really) prosper.

Swahili

msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and eat not up your property among yourselves in vanity, nor seek by it to gain the hearing of the judges that ye may knowingly devour a portion of the property of others wrongfully.

Swahili

wala msiliane mali zenu kwa baat'ili na kuzipeleka kwa mahakimu ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he said: lo! in truth it saddens me that ye should take him with you, and i fear less the wolf devour him while ye are heedless of him.

Swahili

akasem: kwa hakika inanihuzunisha kwamba nyinyi mwende naye, na ninaogopa asije mbwa mwitu akamla nanyi mmeghafilika naye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and devour not your riches among yourselves in vanity, nor convey them unto the judges that ye may devour thereby a portion of other people's riches sinfully while ye know.

Swahili

wala msiliane mali zenu kwa baat'ili na kuzipeleka kwa mahakimu ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for ye suffer, if a man bring you into bondage, if a man devour you, if a man take of you, if a man exalt himself, if a man smite you on the face.

Swahili

mnamvumilia hata mtu anayewafanya ninyi watumwa, mtu mwenye kuwanyonya, mwenye kuwakandamiza, mwenye kuwadharau na kuwapiga usoni!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and cast down what is in your right hand; it shall devour what they have wrought; they have wrought only the plan of a magician, and the magician shall not be successful wheresoever he may come from.

Swahili

na kitupe kilicho katika mkono wako wa kulia; kitavimeza walivyo viunda. hakika walivyo unda ni hila za mchawi tu, na mchawi hafanikiwi popote afikapo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,163,039,756 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK