Results for devouring translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and devour the inheritance devouring greedily,

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and ye devour heritages with devouring greed.

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and you consume inheritance, devouring [it] altogether,

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and you eat away the heritage, devouring (everything) indiscriminately,

Swahili

na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(they are fond of) listening to falsehood, of devouring anything forbidden.

Swahili

hao ni wasikilizaji kwa ajili ya kusema uwongo, na ni walaji mno vya haramu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and thou shalt see many of them hastening toward sin and transgression and their devouring of the forbidden.

Swahili

na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and thou seest many of them vying one with another in sin and transgression and their devouring of illicit gain.

Swahili

na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and you see many of them hastening into sin and aggression and the devouring of [what is] unlawful.

Swahili

na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

why do not their rabbis and priests prohibit them from talking of sinful things and from devouring unlawful gain?

Swahili

mbona hao wanazuoni na makohani wao hawawakatazi maneno yao ya dhambi, na ulaji wao vya haramu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

wherefore is it that the divines and priests forbid them not of their speaking of sin and their devouring of the forbidden?

Swahili

mbona hao wanazuoni na makohani wao hawawakatazi maneno yao ya dhambi, na ulaji wao vya haramu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and also because of their taking usury whereas they were prohibited therefrom, and also because of their devouring the riches of men unlawfully.

Swahili

na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the king said: verily i saw seven fat kine which seven lean ones are devouring and seven green cornears and seven others dry.

Swahili

na siku moja mfalme alisema: hakika mimi nimeota ng'ombe saba wanene wanaliwa na ng'ombe saba walio konda. na mashuke saba mabichi na mengine makavu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and their taking usury though indeed they were forbidden it and their devouring the property of people falsely, and we have prepared for the unbelievers from among them a painful chastisement.

Swahili

na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of their taking usury when they were forbidden it, and of their devouring people's wealth by false pretences, we have prepared for those of them who disbelieve a painful doom.

Swahili

na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and once the king said: "i have dreamt that there are seven fat cows and seven lean cows are devouring them, and there are seven fresh green ears of corn and seven others dry and withered.

Swahili

na siku moja mfalme alisema: hakika mimi nimeota ng'ombe saba wanene wanaliwa na ng'ombe saba walio konda. na mashuke saba mabichi na mengine makavu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

'joseph, thou true man, pronounce to us regarding seven fat kine, that seven lean ones were devouring, seven green ears of corn, and seven withered; haply i shall return to the men, haply they will know.'

Swahili

tueleze nini maana ya ng'ombe saba wanene kuliwa na ng'ombe saba walio konda. na mashuke saba mabichi na mengine makavu, ili nirejee kwa watu wapate kujua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,224,440,076 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK