From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the galician sounds like a cross between spanish and portuguese, somewhat like a dialect originated from the second and enriched with vocabulary and accent of the first.
lugha ya ki-galisia inasikika kama vile ni mchanganyiko wa kihispania na kireno, kana kwamba ni lugha iliyotokana na kireno na kuboreshwa na misamiati na lafudhi za kihispania.
in the tunisian dialect, the adjective houmani derives from the noun houma, which could be translated to a 'working-class district'.
kwa lahaja ya watu wa tunisia,msemo houmani unatokana na neno houma, ambalo lingeweza kutafsiriwa kama 'mtaa wa wachapakazi'.