From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
diplomatic credentials
sifa za kibalozi
Last Update: 2023-03-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a comment from a visitor called isat is less diplomatic:
maoni ya mtembeleaji anayeitwa isat hayana diplomasia:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the sender should remind the receiver of the diplomatic charge
mtumaji anapaswa kumkumbusha mpokeaji wa mashtaka ya kidiplomasia
Last Update: 2023-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
diplomatic passports for religious representatives in brazil? · global voices
pasipoti za kidiplomasia kwa viongozi wa kidini nchini brazil?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogger parsifal pontes also criticized the issuing of diplomatic passports by emphasizing:
mwanablogu parsifal pontes vilevile alikosoa utoaji huo wa pasipoti za kidiplomasia kwa kusisitiza:
Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
there is simply no plausible argument to concede a diplomatic passport to religious representatives.
hakuna hoja yenye mashiko kutetea kitendo cha kutoa pasipoti za kusafiria za kidiplomasia kwa viongozi wa kidini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
diplomatic relations with south africa are strained following assassinations of opposition members in that country.
mahusiano ya kidiplomasia na afrika kusini yamekuwa mabaya kufuatia mauaji ya kisiasa ya wapinzani waliokuwa nchini humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
furthermore, for the past several years kigali has had tense diplomatic relations with several other countries.
zaidi, kwa miaka kadhaa iliyopita kigali imekuwa mahusiano duni ya kidiplomasia na nchi nyingine kadhaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the way in which our ministry takes for granted the concession of diplomatic passports will soon lead foreign customs officials to burst into laughter when they see yet another one.
namna tu wizara yetu inavyochukulia kiwepesi suala la kutoa pasipoti za kidiplomasia na kutumia vibaya mamlaka yake itasababisha idara za uhamiaji nje ya nchi waangue vicheko wanapoona aina ya watu wanaotembea na nyaraka hizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the source accused russia of embarking on a "geopolitical and diplomatic" charm offensive.
aliyetoa taarifa hiyo alilaumu urusi kwa kuanzisha vita vya "kisiasa na kidiplomasia".
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
however, diplomatic passports have also been traditionally conceded to representatives of the catholic church, based on the interpretation of article 6, paragraph 3:
hata hivyo, pasipoti za kidiplomasia zimekuwa zikitolewa kwa wawakilishi wa kanisa katoliki, kwa kutumia tafsiri ya ibara ya 6, kifungu cha 3:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it is an aberration that people who do not fulfill the legal requirements get to receive diplomatic passports, such as the sons of former president lula, the reverends in question and many others.
ni kupotoka kuona watu wasiokidhi vigezo vya kisheria wanapokea pasipoti za kidiplomasia, kama watoto wa rais wa zamani lula, makasisi watajwa na wengine wengine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"(clinton) should be careful not to say that muslims in indonesia are “moderate,” as most diplomatic visitors like to say.
"(clinton) awe muangalifu na asiseme kuwa waislamu wa indonesia wana "siasa za wastani" kama wanavyosema wanadiplomasia wageni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
owing to the effective quarantine of public transport in wuhan and hubei, several countries have planned to evacuate their citizens and diplomatic staff from the area, primarily through chartered flights of the home nation, with chinese authorities providing clearance.
kwa sababu ya karantini fanifu ya usafiri wa umma wuhan na hubei, nchi kadhaa zimepanga kuhamisha raia wao na wafanyakazi wa balozi zao kutoka eneo hilo, kimsingi kutumia ndege zilizokodiwa za nchi husika, na mamlaka ya uchina wakitoa kibali.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
although the constitution affirms the independence of state and religion, in practice the concession of diplomatic passports to religious leaders appears to violate this principal, after all, how can a religious leader carry a diplomatic passport without infringing the basic principal of secularism?
ingawa katiba inatenganisha bayana masuala ya utawala wa serikali na yale ya dini, katika hali halisi utoaji wa pasipoti za kidiplomasia kwa viongozi wa kidini unaonekana wazi kuvunja kanuni hiyo, na tuwe wakweli, inawezekana vipi kiongozi wa kidini kubeba pasipoti ya kidiplomasia bila kuvunja kanuni ya msingi kabisa ya nchi kutokuwa na dini?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aloysius agendia, a journalist and ex-seminarian in a post entitled pope benedict xvi visit to africa : going beyond spiritual rhetoric seems to suggest that the church should denounce acts by states and politicains that harm the people's interest instead of being clothed in diplomatic robes:
aloysius agendia, mwanahabari ambaye pia ni mseminari wa zamani katika makala aliyoipa kichwa cha ziara ya papa benedikti wa xvi afrika: zaidi ya kauli za kiroho inaonekana kwamba angependa kanisa lipinge vitendo vya dola na vya wanasiasa ambavyo vinaharibu maslahi ya umma badala ya kuvivika majoho ya kidiplomasia:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: