From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
misappropriation of funds
matumizi mabaya ya fedha taslimu
Last Update: 2025-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
in 2006, three ministers lost their posts after it was reported that they were involved in embezzlement of funds from the health sector.
mwaka 2006, mawaziri watatu walipoteza nyadhifa zao baada ya kuripotiwa kuwa walihusishwa na ufujaji wa fedha katika idara ya afya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it's actually a side effect from the global credit crunch, where the ministry has had to fire a large number of employees because of a shortage of funds, and couldn't sustain as many websites as it used to.
ukweli ni kwamba haya ni madhara ya hali mbaya ya kiuchumi ulimwenguni, na wizara imelazimika kuwafukuza kazi idadi kubwa ya wafanyakazi kwa sababu ya upungufu wa fedha, haikuweza kuhudumia tovuti nyingi kama ilivyokuwa awali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.