From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this recent event is also relevant just as the members of the national congress are debating the new communications law, which was made known after dissolving a previous agreement between assembly members from the governmental party and opposition.
tukio hili la hivi karibuni pia lina umuhimu wakati ambao bunge la taifa linajadili sheria mpya za mawasiliano, ambayo ilitangazwa baada ya kuvunja makubaliano yaliyopita kati ya wabunge wa chama cha serikali na wale wa upinzani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
since last june, kuwaiti parliament has been frozen by the amir and then dissolved by the constitutional court for 'wrong procedures' in dissolving the parliament before it.
tangu mwisho wa mwezi juni, bunge la kuwait lilisimamishwa na rais amir na hatimaye kuvunjwa na mahakama ya kikatiba kwa ‘taratibu zisizo sahihi’ za kuvunja bunge.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: