Results for distribution of national income translation from English to Swahili

English

Translate

distribution of national income

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

they blame you about the distribution of the welfare funds.

Swahili

na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

among them there are some who find fault with you concerning the distribution of alms.

Swahili

na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(o prophet), some of them find fault with you in the distribution of alms.

Swahili

na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the use of national media as an instrument of propaganda has been fairly well documented in tunisia.

Swahili

utumiaji vyombo vya habari vya kitaifa nchini tunisia kama chombo vya kupigia propaganda ni jambo ambalo limeripotiwa vya kutosha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it still remains as a place for distribution of information and broad discussions about what has happened.

Swahili

bado unabaki kuwa sehemu ya usambazaji wa habari na mijadala mipana inayohusu nini kilichotokea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

photo on flickr from the ministry of national culture (cc by-sa 2.0).

Swahili

picha ya mtandao wa flickr kutoka wizara ya taifa ya utamaduni (cc by-sa 2.0).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aid is pouring in from all over the world but there is no system for the effective distribution of these resources:

Swahili

misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini hakuna mfumo madhubuti wa usambazaji wa rasilimali hizi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

however, this was not because the security agents were unprepared but because of slow distribution of voters’ cards.

Swahili

hata hivyo, uamuzi huu haukutokana na sababu kuwa, vyombo vya usalama havikuwa vimejiandaa, lakini ni kwa sababu ya usambazaji wa polepole wa kadi za wapiga kura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

just picked up the latest edition of national geographic magazine for their story on "shattered somalia".

Swahili

nimechukua toleo la hivi karibuni la jarida la national geographic magazine kwa habari yao inayohusu ‘somalia iliyovunjika’.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

today marks the end of a week of national mourning in rwanda to mark 15 years since the genocide which killed 800,000 people.

Swahili

hivi karibuni zilifanyika sherehe za kitaifa nchini rwanda kuadhimisha kumbukumbu ya kutimiza miaka 15 tangu mauaji ya kimbari. mauaji hayo yaliangamiza maisha ya watu wapatao 800,000.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in november 2013, croatia and greece joined the growing list of national football teams that fifa has fined for racist behavior of their fans or team members.

Swahili

mnamo novemba 2013, croatia ilijiunga na orodha ya kuongezeka kwa timu za taifa za kandanda ambazo fifa imezipiga faini kwa ajili ya tabia za ubaguzi wa rangi ya mashabiki wao au wajumbe wa timu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of them are some who accuse you (o muhammad saw) in the matter of (the distribution of) the alms.

Swahili

na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it seems that china has realized its dream of being a strong country, however, netizens have been rather skeptical about the news because of the uneven distribution of wealth.

Swahili

inaoneka kuwa china imefanikisha ndoto yake ya kuwa taifa imara, hata hivyo, raia wa kwenye mtandao wamekuwa na mashaka kuhusu taarifa hiyo kwa sababu ya mgawanyo wa utajiri usio sawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to moses kamabare, the general manager of national medical stores, the organisation responsible for the storage and delivery of medicine to health centres, they makes one delivery every two months to all districts.

Swahili

kwa mujibu wa moses kamabare, msimamizi mkuu wa bohari ya dawa ya taifa, shirika linalohusika na kuhifadhi na kusambaza dawa katika vituo vya afya, huwa wanasambaza dawa mara moja katika wilaya zote kila baada ya miezi miwili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

at the same time and separately, the rcgp rsc’s surveillance has been extended to monitor the temporal and geographical distribution of covid-19 infection in the community as well as assess the effectiveness of the containment strategy.

Swahili

wakati huo huo, uchunguzi wa rcgp rsc umeendelea kutumika kivyake ili kufuatilia kusambaa kimuda na kijiografia kwa maambukizi ya covid-19 katika jamii pamoja na kutathmini ufanisi wa mkakati wa udhibiti.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one must then poignantly ask, though it be a rhetorical question, if the purchase and distribution of gsm phones to hundreds of farmers spread across the length and breadth of a country so large as nigeria is the most critical and challenging of issues bedevilling the nigerian agricultural sector at the moment?

Swahili

mtu anaweza kuuliza, ingawa ni swali lisilohitaji jibu, kama ununuzi na usambazaji wa simu za mkono za gsm kwa mamia ya wakulima walioenea katika urefu na upana wa nchi hiyo kubwa, ni muhimu zaidi kuliko changamoto ya masuala yanayoikumba sekta ya kilimo ya nigeria wakati huu?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

of course, most of these were brewed in smoky backrooms where western diplomats met military officers while sipping on expensive wines and spirits, enticing them with not only the control of national resources if they kicked out an anti-western radical leader but also the support of their capital.

Swahili

ni kweli, kuwa mapinduzi mengi yalipangwa kwenye vyumba vya faragha ambapo wanadiplomasia wa nchi za magharibi walikutana na maafisa wa kijeshi huku wakigida mvinyo na pombe ghali, wakiwafanya si tu wawe na tamaa ya kudhibiti raslimali za taifa kama watang’oa viongozi wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi lakini pia kuwafadhili mtaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the following chart by the pharmaceutical security institute (psi) details the geographical distribution of confirmed counterfeiting incidents in 2011; the issue is increasingly challenging to tackle for the developing world because of the growing volume of fake drugs and the required infrastructure.

Swahili

chati hii, kutoka kwa taasisi ya usalama wa madawa inaonyesha sehemu ambazo kulikuwa na visa vya dawa hizi. suala hili liaendelea kuwa nzito kwa nchi hizi zinazojiendeleza kwa sababu ya kuongezeka kwa dawa hizi na miundombinu inayotakikana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and among them are men who slander thee in the matter of (the distribution of) the alms: if they are given part thereof, they are pleased, but if not, behold! they are indignant!

Swahili

na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka. wanapo pewa wao huridhika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,653,440,213 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK