Results for drill translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

drill

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

earthquake drill mechanics

Swahili

zoezi la mtetemeko wa ardhi

Last Update: 2015-09-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

an estimated of 17,000 buildings were evacuated during the drill.

Swahili

majengo yanayokadiriwa kuwa 17,000 yalifanyiwa uokozi wakati wa mafunzo hao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

rolando zapata's yucatán government has carried out historic drill in the palace.

Swahili

serikali ya yucatán inayoongozwa na rolando zapata iliendesha mafunzo hayo kwenye ikulu ya nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the drill is not only to honor the victims of the earthquake, it's also about society vs bureaucracy.

Swahili

mafunzo hayo yalikuwa si tu kuwakumbuka wahanga wa tetemeko la ardhi, bali kushughulikia jamii na taratibu za kirasimu za uendeshaji wa shughuli za serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

conmemorating the event 29 year later, the secretary for civil protection of federal district organized an earthquake drill, for the population to know how to act in these events.

Swahili

wakikumbuka miaka 29 tangu tukio hilo litokee, katibu wa ulinzi wa raia wa wilaya ya shirikisho aliandaa mafunzo ya tetemeko, kwa ajili ya kuwasaidia watu kujua namna ya kuchukua hatua yanapotokea matukio kama haya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for example, these agencies should be (1) more careful when making public announcements as every word counts to citizens and can change their attitude and decisions; (2) more sensitive and reactive to unusual information from clinics rather than waiting for formal reports from doctors or officials; (3) more restrictive to contain a potential epidemic at its early stage rather than attempting to comfort the public; and (4) more often to issue targeted and effective drills to increase the public's awareness about epidemic diseases and to test and improve the response system of the society periodically.

Swahili

kwa mfano, mashirika haya yanapaswa kuwa (1) makini zaidi yanapofanya matangazo ya umma kwa sababu kila neno lina maana kwa wananchi na linaweza kubadilisha mitazamo na maamuzi yao; (2) kuwa makini zaidi na kuchukulia hatua taarifa zisizo za kawaida kutoka katika kliniki kuliko kusubiri kupokea ripoti rasmi kutoka kwa madaktari au maafisa; (3) kuweka vikwazo zaidi ili kudhibiti uwezekano wa kutokea janga katika awamu yake ya awali kuliko kujaribu kuifariji umma na (4) mra kwa mara kutoa majaribio faafu zaidi ili kuongeza ufahamu wa umma kuhusu magonjwa ya janga na kujaribu kuboresha mfumo wa majibu ya jamii muda baada ya muda.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,799,759,334 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK