Results for easier translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

it's easier to die..."

Swahili

ni rahisi kufa…”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

life would be much easier then.

Swahili

maisha yangekuwa rahisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is said this month god answers the prayers easier...

Swahili

inasemekana kwamba katika mwezi huu mungu hujibu dua kwa urahisi zaidi ...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is it easier to condemn rape when it happens elsewhere?

Swahili

je, ni rahisi kulaani ubakaji unapotokea sehemu nyinginezo?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it was much easier to cordon the area and flash out those culprits.

Swahili

ingekuwa rahisi kuzingira eneo hilo na kuwakamata waliohusika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

don't wipe a cloth seat, as the moisture can make transmission easier.

Swahili

usipanguse kiti cha kitambaa, kwa kuwa unyevu unaweza kufanya maambukizi kuwa rahisi zaidi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he it is who produceth creation, then reproduceth it, and it is easier for him.

Swahili

na yeye ndiye anaye anzisha uumbaji, kisha ataurudisha mara nyengine. na jambo hili ni jepesi zaidi kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and it is easier for heaven and earth to pass, than one tittle of the law to fail.

Swahili

lakini ni rahisi zaidi mbingu na dunia kupita, kuliko hata herufi moja ya sheria kufutwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it seems a much easier way of buying things without cash if one goes by pnts attitude:

Swahili

inaelekea kuwa ni njia rahisi zaidi ya kununua vitu bila fedha taslimu kama mtu atafuata maneno ya pnt attitude:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he it is who originateth the creation, then shall restore it, and it is easier for him.

Swahili

na yeye ndiye anaye anzisha uumbaji, kisha ataurudisha mara nyengine. na jambo hili ni jepesi zaidi kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is he who creates in the first instance and it is he who will repeat the creation, and that is easier for him.

Swahili

na yeye ndiye anaye anzisha uumbaji, kisha ataurudisha mara nyengine. na jambo hili ni jepesi zaidi kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they hoped it would be easier to win these small-scale contests, which took place last weekend.

Swahili

walitumaini itakuwa rahisi kushinda uchaguzi huo mdogo, ambao ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and it is he who begins creation; then he repeats it, and that is [even] easier for him.

Swahili

na yeye ndiye anaye anzisha uumbaji, kisha ataurudisha mara nyengine. na jambo hili ni jepesi zaidi kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it would have made it easier for monitoring as well as for traffic to decide whether to “swim” through or not.

Swahili

hilo lingefanya kazi ya ufuatiliaji iwe rahisi kadhalika ingewasaidia watumiaji wa barabara kufanya maamuzi ama ya kuogelea au la.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and again i say unto you, it is easier for a camel to go through the eye of a needle, than for a rich man to enter into the kingdom of god.

Swahili

tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and he it is who originates the creation, then will repeat it (after it has been perished), and this is easier for him.

Swahili

na yeye ndiye anaye anzisha uumbaji, kisha ataurudisha mara nyengine.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and if any man should be in difficulties, let him have respite till things are easier; but that you should give freewill offerings is better for you, did you but know.

Swahili

na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed (to repeat the creation of a thing) is even easier for allah (than creating it for the first time).

Swahili

hakika hayo kwa mwenyezi mungu ni mepesi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whether is it easier to say to the sick of the palsy, thy sins be forgiven thee; or to say, arise, and take up thy bed, and walk?

Swahili

ni lipi lililo rahisi zaidi: kumwambia mtu huyu aliyepooza, umesamehewa dhambi zako, au kumwambia, inuka! chukua mkeka wako utembee?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"at what point in time did society make it an easier, more obvious and appealing choice for an impoverished population in the grips of an hiv epidemic, to buy a cell phone rather than a condom?

Swahili

"katika nukta au wakati gani ambapo jamii imefanya chaguo hili kuwa rahisi, na lenye uwazi na mvuto kwa watu masikini waliobanwa na janga la vvu, kwenda kununua simu za viganjani badala ya kondomu?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,169,525,363 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK