Results for echoes translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

also, nawara shares echoes similar sentiments.

Swahili

nawara, kadhalika, anashiriki hisia kama hizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

jamaican poet tanya shirley echoes these sentiments:

Swahili

mshairi wa kijamaika tanya shirley anatoa maelezo yanayounga mkono hoja hiyo hapo juu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are having mexicana chicken as sound of mortars echoes at a distance.

Swahili

tunakula kuku wa ki-mexico wakati tukisikia sauti za mabomu yakidondoka kwa mbali,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the pinoy catholic echoes the official stand of the local clergy and adamantly suggests that sex education should be left to the parents.

Swahili

the pinoy catholic anatoa msimamo unaofanana na ule wa viongozi wa kanisa na kwa nguvu zote anapendekeza kuwa elimu ya ngono ibaki kuwa jukumu la wazazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nour el refai also echoes the idea of women and men as allies in his blog post "men and women equal in peaceful protest against mubarak".

Swahili

kadhalika nour el refai anatoa mwangwi wa dhana hiyo ya wanawake na wanaume kuwa maswahiba katika makala yake ya blogu "wanawake na wanaume wako sawa katika maandamano ya amani dhidi ya mubarak".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

yang's death has received a lot of echoes from the internet as it has become more and more difficult for people with high education achievement to attain the social status that they struggle for.

Swahili

kifo cha yang kimevuta hisia za watu wengi katika intaneti hasa kwa kuwa inazidi kuwa vigumu kwa watu wengi wanaopata elimu ya juu kupata hadhi ya kijamii wanayoipigania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

'where are we going, dad?’ becomes a hit show not only because it’s based on a new and interesting idea, but more importantly because it echoes our society’s thirst and expectations of more care and love from dads.

Swahili

'baba, tunaelekea wapi?’ kimekuwa kipindi kilichojizolea umaarufu sana, siyo tu kwa kuwa kimekuwa cha kuvutia na chenye kuleta mtazamo mpya, jambo la muhimu kabisa ni kuwa kinatupa taswira ya kiu na mategemeo ya kuenedelea kupendwa na kujaliwa zaidi na baba zetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,784,314 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK