From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the staff are professional, courteous and efficient.
wafanyakazi wake ni wataalamu, wenye ari na wafanisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the vigil of night is more effective, and better suited for recitation.
hakika kuamka usiku kunawafikiana zaidi na moyo, na maneno yake yanatua zaidi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i believe it will be an effective and widely spread tool in the near future.
naamini njia hii itakuja kuwa yenye ufanisi na kuwa zana itakayotumiwa sana katika siku za hivi karibuni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
if school closures occur late relative to an outbreak, they are less effective and may not have any impact at all.
ikiwa kufungwa kwa shule inafanywa kama imechelewa kulingana na mkurupuko, zina ufanisi duni na huenda zisiwe na athari yoyote.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
as of march 2020, it was unknown if past infection provides effective and long-term immunity in people who recover from the disease.
kufikia machi 2020, haikujulikana ikiwa maambukizi ya hapo awali yalitoa kinga ya kufaa na ya muda mrefu ndani kwa waliopona ugonjwa huu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
this, it was noted, would be more effective and would earn bloggers that extra penny which though not sought desperately, would afford bloggers some stipend.
ilifikiriwa kwamba jambo hili huenda litasaida kufanya wanablogu wajipatie kipato cha ziada pamoja na kwamba sicho kitu wanachokisaka kwa udi na uvumba, lakini bado itawapatia wanablogu kifuta jasho.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
currently, due to the lack of effective and specific therapy for covid-19, tcm has become one of the major alternative treatments for patients with light to moderate symptoms or for those who have recovered from severe stages.
kwa sasa, kutokana na ukosefu wa tiba faafu na mahususi kwa covid-19, tcm imekuwa mojawapo ya tiba kuu mbadala kwa wagonjwa walio na dalili hafifu hadi za wastani au kwa wale ambao wamepona kutoka katika hatua mbaya zaidi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
48% of reductions in diarrhoea episodes can be associated with hand washing with soap.hand washing with soap is the single most effective and inexpensive way to prevent diarrhea and acute respiratory infections (ari), as automatic behavior performed in homes, schools, and communities worldwide.
48% ya kupungua kwa vipindi vya kuendesha inaweza kuhusishwa na kuosha mikono kwa sabuni.kuosha mikono kwa sabuni ni njia moja inayofaa zaidi isiyo na gharama ya juu ya kuzuia kuendesha na maambukizi ya ugonjwa wa kupumua (ari), kama mwenendo wa wa kawaidaunaofuatwa nyumbani, shuleni na katika jamii kote ulimwenguni.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: