Results for efficient management of translation from English to Swahili

English

Translate

efficient management of

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

overall approval of trump's management of the crisis has been polarized along partisan lines.

Swahili

kibali ya jumla cha usimamizi wa hali ya hatari imegawanyika kufuatia ufuasi wa vyama.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

containment should slow the spread, and there may be benefits in the management of spread from intense surveillance.

Swahili

udhibiti unapaswa kupunguza kuenea kwa ugonjwa na kunaweza kuwepo manufaa katika kudhibiti maenezi kutokana na uchunguzi wa kina.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

underequipped, the african continent is awash in the obsolescence of its facilities and bore the brunt of poor management of available resources.

Swahili

kule kuwa na nyenzo duni, bara la afrika imefurikwa na nyenzo zilizopitwa na wakati pamoja na utawala duni na butu wa raslimali zilizopo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to put it clearly, africa is navigating between two competing systems of culture, the retrograde system of management of people and the (revolutionary?) administration of things.

Swahili

kuliweka suala hili bayana zaidi, afrika inaogelea kati ya mifumo miwili ya kiutamaduni inayoshindana, mfumo wa kurudi nyuma kwa kusimamia watu na (mapinduzi?) ya utawala wa mambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
9,164,850,827 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK