From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
now his elder son was in the field: and as he came and drew nigh to the house, he heard musick and dancing.
"wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo na ngoma.
the hug campaign encourages you to simply give a call, listen to experiences, ask how the day was and share your stories with your elder friend.
kampeni ya kukumbatia inawahamasisha vijana kuwapigia simu, kusikiliza uzoefu wa wazee na kuwauliza siku yao imeendaje na shiriki masimulizi yako na rafiki yako mzee.
the elder unto the elect lady and her children, whom i love in the truth; and not i only, but also all they that have known the truth;
mimi mzee nakuandikia wewe bimkubwa mteule, pamoja na watoto wako ninaowapenda kweli. wala si mimi tu ninayewapenda, bali pia wote wanaoujua ule ukweli wanawapenda ninyi,
1st voter in dallas was elder poll worker, who after dropping ballot in box, rose his hand and waved goodbye. #sudanref #sudan
mpigaji kura wa kwanza mjini dallas alikuwa mfanyakazi mzee wa upigaji kura, ambaye baada ya kutumbukiza karatasi yake ya kura kwenye sanduku, alinyanyua mkono wake na kupunga kwa ishara ya kuaga #sudanref #sudan