Results for eligibility requirements translation from English to Swahili

English

Translate

eligibility requirements

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

some african leaders have willingly turned over power in compliance with these constitutional requirements.

Swahili

baadhi ya watawala wa afrika kwa hiari yao wamekubaliana na matakwa haya ya katiba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the end of april is the upper limit according to the constitutional requirements for when elections must hold.

Swahili

mwisho wa mwezi aprili ndio kikomo kwa mujibu wa katiba, hivyo italazimika kwa uchaguzi kufanyika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a government spokesman said on wednesday that the admission point requirements would be published before christmas .

Swahili

siku ya jumatano, msemaji wa serikali alisema kuwa, vigezo vya alama wakati wa udahili vingetangazwa kabla ya sikuu ya noeli .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

no quantity limitations were announced; specimen collection and processing must be performed according to cdc requirements.

Swahili

hakuna vikomo vya viwango vilivyotangazwa; ukusanyaji na uchakataji wa sampuli lazima ufanywe kulingana na mahitaji ya cdc.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in addition, the requirements for successful host switches and the implications of virus evolution on disease severity are also highlighted.

Swahili

pia, mahitaji ya kufanikiwa kwa kubadilika kwa mbebaji na athari ya ukuaji wa virusi kwa uzito wa ugonjwa pia yameangaziwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

at the very least they can keep you informed about the local situation and notify you about recently introduced travel requirements and restrictions.

Swahili

katika hali ya chini kabisa wanaweza kukufahamisha kuhusu hali ya ndani na kukuarifu kuhusu mahitaji na vikwazo vipya vya kusafiri.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on thursday afternoon, however, the ministry of human resources announced they wouldn't publish the requirements this year.

Swahili

hata hivyo, siku ya alhamisi mchana, wizara ya rasilimali watu ilitangaza kuwa wasingeweka bayana vigezo kwa mwaka huu (2012).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

education reform, as they oppose the modifications to the requirements to become a school teacher. rising cost of electricity because the company did not stick to their commitments.

Swahili

mabadiliko ya elimu , kama wanavyopinga marekebisho ya vigezo vya mtu kuwa mwalimu katika shule fulani. kuongezeka kwa gharama za nishati ya umeme kwa kuwa kampuni haikuzingatia malengo iliyojiwekea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is an aberration that people who do not fulfill the legal requirements get to receive diplomatic passports, such as the sons of former president lula, the reverends in question and many others.

Swahili

ni kupotoka kuona watu wasiokidhi vigezo vya kisheria wanapokea pasipoti za kidiplomasia, kama watoto wa rais wa zamani lula, makasisi watajwa na wengine wengine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you have not met entry requirement

Swahili

kukidhi matakwa

Last Update: 2024-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,891,419,005 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK