From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
eligible
kamusu
Last Update: 2023-03-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
you're not eligible for registration
usajili
Last Update: 2025-01-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
under south african law, he will be eligible for release after 8 months.
chini ya sheria ya afrika kusini, anaweza kuwa huru baada ya miezi nane tu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
women who are pregnant or breastfeeding or who do not have an effective contraceptive method are not eligible.
wanawke ambao ni wajawazito au wananyonyesha au ambao hawana njia bora ya upangaji uzazi hawastahiki.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
public holidays were declared in several states to ensure that the details of all eligible citizens were captured.
sikukuu za kitaifa ziliamriwa katika majimbo kadhaa ili kuhakikisha kwamba taarifa za kila mwananchi ambaye ana uwezo wa kupiga kura zinaorodheshwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the current prime minister beriziky stated on 30/05 that andry rajoelina is no longer eligible to seat at the government meetings because he should have already resigned from his position.
waziri mkuu wa sasa beriziky alitoa tamko tarehe 30 mei kwamba andry rajoelina hana sifa tena ya kuendelea kushiriki vikao vya serikali kwa sababu alipaswa tayari awe ameshajiuzulu nafasi yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
on 12 march, the human rights watch urged the iranian prison authorities to unconditionally release the human rights defenders detained for peaceful dissent, and to also temporarily release all the eligible prisoners.
mnamo 12 machi, shirika la haki za kibinadamu ilihimiza mamlaka ya jela ya irani kuwaachilia bila masharti wanaotetea haki za kibinadamu waliokamatwa kwa upinzani wa amani, na pia kuachilia kwa muda wafungwa wote wanaostahili.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
when kyoto protocol, the global climate treaty, will enter into force for nepal in december 2005, it would be eligible to start trading the carbon dioxide not emitted by using biogas and earn up to $5 million per year."
wakati itikadi ya kyoto, mkataba wa hali ya hewa duniani, utaanza kutekelezwa nepal disemba mwaka 2005, itakuwa na haki ya kuanza kuuza hewa ya ukaa ambayo haikuzalishwa kwa kutumia gesi inayotokana na samadi na kuweza kupata hadi dola milioni 5 kwa mwaka.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting