Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in the blogosphere, horror, shame and empathy were the prevalent emotions.
katika ulimwengu wa blogu, vitisho, aibu na na imani ni hisia ambazo zilizotawala.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the time to have a global discussion on terror attacks, free speech, empathy and islamophobia is not when tragedy strikes but beforehand and when cooler heads prevail.
wakati wa kufanya mijadala ya maana kidunia kuhusu mashambulizi ya kigaidi, uhuru wa kujieleza, kujali wengine na hofu ya uislamu sio pale majanga yanapotokea lakini kabla, tena yapaswa kuwa wakati vichwa vyetu vimetulia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
we don’t have precedent for its challenges, but we do know that our best response relies on the sort of global empathy, cooperation, and community building that sits at the heart of this organization.
hatuna nafasi ya kwanza kwa changamoto zake, lakini hatujui kwamba majibu yetu bora yanategemea aina ya hisia-mwenzi duniani, ushirikiano, na uundaji wa jamii ambao ndiyo moyo wa shirika hili.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
helpage india's hug - help unite generations encourages india's youth to befriend an elder and share a hug with the hope of building "inter-generational bonding and to increase the empathy of young adults towards elders".
kampeni inayoratibiwa na helpage india kukumbatia- kunasaidia kuunganisha vizazi inawahamasisha vijana wa kihindi kufanya urafiki na wazee na kutuma picha zao zinazoonyesha wakiwakumbatia wazee kwa lengo la kujenga "muunganiko wa vizazi na vizazi na kuongeza uelewa wa vijana kwa hali wanazokabiliana nazo wazee".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting