Results for emphasis translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

indonesia has a vibrant blogging scene with a strong emphasis on community.

Swahili

indonesia ina uwanja wa blogu uliosisimka na wenye msisitizo mkubwa kwa jamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

perhaps the emphasis on obama as a black president is missing the point.

Swahili

labda msisitizo kwa obama kama rais mwenye asili ya afrika unakosa mantiki.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if thou dost question them, they declare (with emphasis): "we were only talking idly and in play."

Swahili

na ukiwauliza, wanasema: sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

one of the things that received a lot of emphasis was the need to build a community where bloggers supported each other and worked closer together to achieve a common objective which is to provide relevant and useful local content online.

Swahili

moja ya mambo yaliyotiliwa mkazo sana lilikuwa kuhusu kujenga jamii ambapo wanablogu watasaidiana na kufanya kazi pamoja ili kufikia lengo moja ambalo ni kutoa habari za nchi zilizo mwafaka na zenye kufaa kupitia mtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

inuka soja is an organic product, cultivated by farmers in the eastern part of the democratic republic of congo. we process and package the finest soybeans that are selected and roasted to a medium profile to allow you to get all the flavors from our soybeans. our product is characterized by its fine powder and its advantage of being consumed instantly. we campaign to support the interests of the local population while placing an emphasis on quality. by purchasing this soy, you directly contribute to

Swahili

inuka soja ni bidhaa ya kikaboni, inayolimwa na wakulima katika sehemu ya mashariki ya jamhuri ya kidemokrasia ya kongo. tunachakata na kufunga maharage bora ya soya ambayo yamechaguliwa na kuchomwa kwenye wasifu wa kati ili kukuruhusu kupata ladha zote kutoka kwenye maharage yetu ya soya. bidhaa yetu ina sifa ya unga wake mzuri na faida yake ya kutumiwa mara moja. tunafanya kampeni ili kusaidia maslahi ya wakazi wa eneo husika huku tukisisitiza ubora. kwa kununua soya hii, unachangia moja kwa moja

Last Update: 2023-11-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,885,432,278 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK