Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
egypt: islamonline employees strike · global voices
misri: wafanyakazi wa islamonline wagoma
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
karachi airport employees being escorted out of jinnah international airport.
picha ilikuwa kwenye twiti ya mtumiaji wa twita @ahsannagi #karachiairport.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
other reports say that 26 egyptian employees have resigned, including four in the main doha office.
habari nyingine zinasema wafanyakazi 26 raia wa misri wamejiuzulu, wakiwemo wanne wanaofanya kazi kwenye ofisi kuu iliyoko doha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
corporations imposed employee travel restrictions, cancelled conferences, and encouraged employees to work from home.
mashirika yaliweka vikwazo vya usafiri ya wafanyakazi, ikakatiza kongamano, na kuhimiza wafanyakazi kufanya kazi kutoka nyumbani.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
côte d'ivoire: employees of health institutions strike after four months without pay · global voices
côte d'ivoire: wafanyakazi wa afya wagoma baada miezi minne bila mshahara
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the transfers were made to punish teachers who participated in last year's strikes demanding the improvement of the conditions of employees in the education sector.
walimu hao wamekuwa wakihamishwa kuwaadhibu wale wote walioshiriki katika mgomo wa mwaka uliopita kushinikiza kuboreshwa kwa mazingira ya kazi katika sekta ya elimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
well-informed sources within the institution said that the aim of the investigation with employees is to arbitrarily dismiss them and therefore deprive them from all their financial dues.
watu walio vyanzo vya habari na walio na uhakika wa kile wanachokieleza ambao wamo ndani ya taasisi hiyo wanasema kwamba lengo la uchunguzi dhidi ya wafanyakazi ni kuwaondoa mara moja na kuwanyika madai yao mbalimbali ya fedha waliyo nayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
he also owns dominion publishing house, a thriving publishing company that publishes all his books (which are often centred on prosperity).
anamiliki pia kampuni ya uchapishaji iitwayo dominion publishing house, inayochapisha vitabu vyake vyote (ambavyo vimejikita zaidi kwenye mafanikio).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
engineering controls involve isolating employees from work-related hazards without relying on worker behavior, and can be the most cost-effective solution to implement.
udhibiti za uhandisi zinahusisha kutenga wafanyakazi kutoka hatari zinazohusiana na kazi bila kutegemea tabia ya wafanyakazi, na inaweza kuwa yenye suluhisho yenye gharama nafuu kutekeleza.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
before sleeping, ghafari concluded his updates saying they will not stop their strike unless all these demands are fulfilled: employees strike will continue till the morning, till decisions are issued to grantee our rights officially.
kabla ya kwenda kulala, ghafari alihitimisha utoaji taarifa zake za kila mara kwa kusema kwamba hawatasimamisha mgomo wao mpaka matakwa yao yote yatimizwe: @ghafari: #mgomo wa wafanyakazi wa islamonline utaendelea mpaka asubuhi, yaani mpaka uamuzi ufanyike unaothibitisha kwamba haki zetu zipo palepale.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
according to pakistan's leading english daily dawn, the employees had taken refuge in the cold-storage facility to escape the carnage, but a wall of the warehouse collapsed trapping them.
kutoka kwenye gazeti hilo la dawn: "tumeanza operesheni mpya na tumeita vikosi vipya," alisema sibtain rizvi, msemaji wa kikosi cha jeshi cha karachi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
c/during the year under audit, the council made payment of allowances of tzs 33,350,000 to employees and casual labourers vide pv no. 00862018v2302852 via deposit account for the purpose of relocating graves which were at msabweni, mwanzange, and marungu wards for the construction of road from tanga district to pangani district.
during the year under audit, the council made payment of allowances of tzs 33,350,000 to employees and casual labourers vide pv no. 00862018v2302852 via deposit account for the purpose of relocating graves which were at msabweni, mwanzange, and marungu wards for the construction of road from tanga district to pangani district.
Last Update: 2024-05-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.