Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
he should be made to resign for encouraging people to damage our democracy with political violence.
ni lazima alazimishwe kujiuzulu kwa kuwataka watu kuharibu demokrasia yetu kwa vurugu za kisiasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
now more than ever we need our rock star encouraging people and touring the country to support candidates for mayors and governors.
sasa tunahitaji nyota huyo wa muziki kuwatia moyo watu na kuzunguka nchi nzima kuwaunga mkono wagombea wa umeya na ugavana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mexican blog hazme el chingado favor posted a short commentary encouraging their readers to share the video:
blogu ya ki-mexico hazme el chingado favor ilitundika uchambuzi mfupi kuwahamasisha wasomaji wake kuisambaza video hiyo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
at a time when ghana's democracy is in its infancy, the last thing we need is someone encouraging political violence.
katika wakati ambao demokrasia ya ghana ipo katika uchanga wake, kitu cha mwisho tunachohitaji ni mtu kushabikia ghasia za siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
none those of who are encouraging to vote can answer this, yet very simple question: how was voting on 23 october useful?
hakuna yeyote kati ya hawa wanaowatia moyo kupiga kura wanaweza kujibu swali hili, ambalo ni rahisi sana: je, uchaguzi wa oktoba 23 ulileta faida gani?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
laurent nkunda made a statement on television and radio announcing a unilateral cease-fire, which is encouraging, but unfortunately does not translate into a peaceful evening.
laurent nkunda ametoa tamko kwenye televisheni na redio akitangaza kusitishwa kwa mapigano, jambo la kutia moyo, kwa bahati mbaya hilo halijasababisha jioni yenye utulivu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
(the event) seems good to us for many reasons (...): the importance of reading, the beauty of giving, the excitement of releasing, and the uncertainty of not knowing and trusting; encouraging solidarity and the spirit of sharing socially and culturally, opening your heart and crossing borders.
(tukio hili) linaonekana kuwa jema kwetu kwa sababu nyingi (...): umuhimu wa kusoma, uzuri wa kutoa, furaha ya kuachia ulicho nacho na kutokuwa na uhakika wa kujua na kuamini; kuhamasisha ushirikiano na moyo wa kushirikiana kijamii na kiutamaduni, kufungua moyo wako na kuvuka mipaka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: