From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
encryption
usimbaji fiche
Last Update: 2022-04-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
edward, a friendly email bot, helps email self-defense users test their new encryption systems.
edward, kitufe kidogo rahisi, huwasaidia watumiaji wa zana ya kujilinda barua pepe zao katika mfumo mpya wa kutunza faragha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
even if you have nothing to hide, using encryption helps protect the privacy of people you communicate with, and makes life difficult for bulk surveillance systems.
hata kama huna cha kuficha, kutumia zana hii kunalinda faragha ya watu unaowasiliana nao, na kufanya iwe vigumu kwa mifumo inayofuatilia mawasiliano ya watu kufanikiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
end the prosecution of individuals for pursuing security training and using encryption technologies, and free zelalem workagegnehu, yonatan wolde, abraham solomon, and bahiru degu.
acheni kutesa watu kwa kutafuta mafunzo ya usalama mtandaoni ama kutumia teknolojia za kuficha taarifa zao. mwachieni huru zelalem workagegnehu, yonatan wolde, abraham solomon, na bahiru degu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
while we learn email encryption tools, we also need to push politically to reign in surveillance, build a safer internet, and force governments and companies to reduce the amount of data they collect about us in the first place.
wakati tunajifunza kutumia zana ya kulinda mawasiliano yetu, tunahitaji pia kufanya shinikizo la kisiasa dhidi ya ufuatiliaji, kujenga mtandao salama zaidi wa intaneti, na kulazimisha serikali na makampuni kupunguza kiasi cha data wanazozitumia kutuhusu sisi kama hatua ya kwanza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
email self-defense, a beginner's guide to email encryption by the free software foundation (fsf), was released in six new languages on june 30, 2014.
ulinzi binafsi wa barua pepe , ni mwongozo wa anayetaka kujifunza kulinda barua pepe zake kwa kutumia mfuko wa zana huru (fsf), uliotolewa katika lugha sita mpya mnamo juni 30, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: