From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
thus shall they be entertained on the day of recompense.
hiyo ndiyo karamu yao siku ya malipo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
that misjudgement, which you entertained about your lord ruined you.
basi hiyo dhana yenu mliyo kuwa mkimdhania mola wenu mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
be not forgetful to entertain strangers: for thereby some have entertained angels unawares.
msisahau kuwakaribisha wageni; maana kwa kufanya hivyo watu wengine walipata kuwakaribisha malaika bila kujua.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
the general informed joyce banda, peter mutharika and goodall gondwe that the army will uphold the constitution anything other than that will not be entertained.
jenerali huyo alimtaarifu joyce banda, peter mutharika na goodall gondwe kuwa jeshi litadumisha katiba na jambo lolote tofauti na hilo halitavumiliwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and that was your (evil) thought which you entertained about your lord that has tumbled you down into perdition, so are you become of the lost ones.
basi hiyo dhana yenu mliyo kuwa mkimdhania mola wenu mlezi. imekuangamizeni; na mmekuwa miongoni mwa walio khasiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but these thoughts which you entertained concerning your lord, have brought you to destruction, and [now] you are among the utterly lost!"
basi hiyo dhana yenu mliyo kuwa mkimdhania mola wenu mlezi. imekuangamizeni; na mmekuwa miongoni mwa walio khasiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
when they came at you from above and below you, and when the eyes rolled [with fear] and the hearts leapt to the throats, and you entertained misgivings about allah,
walipo kujieni kutoka juu yenu, na kutoka chini yenu; na macho yalipo kodoka, na nyoyo zikapanda kooni, nanyi mkamdhania mwenyezi mungu dhana mbali mbali.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
rather, you thought that the apostle and the faithful will not ever return to their folks, and that was made to seem decorous to your hearts; you entertained evil thoughts, and you were a ruined lot.
lakini mlidhani kwamba mtume na waumini hawatarudi kabisa kwa ahali zao, na mkapambiwa hayo katika nyoyo zenu, na mkadhania dhana mbaya, na mkawa watu wanao angamia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and for such as had entertained the fear of standing before their lord's (tribunal) and had restrained (their) soul from lower desires,
na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya mola wake mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then after sorrow he sent down security upon you, a calm coming upon a party of you, and (there was) another party whom their own souls had rendered anxious; they entertained about allah thoughts of ignorance quite unjustly, saying: we have no hand in the affair.
kisha baada ya dhiki alikuteremshieni utulivu - usingizi ambao ulifunika kundi moja kati yenu. na kundi jengine nafsi zao ziliwashughulisha hata wakamdhania mwenyezi mungu dhana isiyo kuwa ya haki, dhana ya kijinga.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: