Results for estimation translation from English to Swahili

English

Translate

estimation

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

they do not esteem god with the right estimation.

Swahili

hawakumuadhimisha mwenyezi mungu anavyo stahiki kuadhimishwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then he made his progeny of an extract, of water held in light estimation.

Swahili

na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they estimated not allah with an estimation due unto him when they said: on no human being hath god sent down aught.

Swahili

na hawakumkadiria mwenyezi mungu kwa haki ya kadri yake, walipo sema: mwenyezi mungu hakumteremshia mwanaadamu chochote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

therefore be patient; surely the promise of allah is true and let not those who have no certainty hold you in light estimation.

Swahili

hakika ahadi ya mwenyezi mungu ni ya haki. wala wasikupaparishe hao wasio kuwa na yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but they failed to make a just estimation of god when they said: "he did not reveal to any man any thing."

Swahili

na hawakumkadiria mwenyezi mungu kwa haki ya kadri yake, walipo sema: mwenyezi mungu hakumteremshia mwanaadamu chochote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and they estimated not allah with an estimation due unto him whereas the whole earth shall be his handful on the day of judgment, and the heavens shall be rolled in his right hand.

Swahili

na wala hawakumhishimu mwenyezi mungu kama anavyo stahiki kadiri yake. na siku ya kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

key to the focus of our study will be the estimation of peak cases in the population and continual monitoring by data collection and modelling the potential growth and emergence of subsequent peaks in new cases as social distancing measures are relaxed.

Swahili

kipengee muhimu katika utafiti wetu kitakuwa ni kukadiria visa vya upeo miongoni mwa watu na kuendelea kufuatilia ukusanyaji wa data na kuunda uwezekano wa kukua na kuibuka kwa upeo wa baadaye katika visa vipya huku hatua za kujiweka mbali ya jamii ikilegezwa kamba.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the (brethren) sold him for a miserable price, for a few dirhams counted out: in such low estimation did they hold him!

Swahili

na wakamuuza kwa thamani duni, kwa akali ya pesa. wala hawakuwa na haja naye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and i do not say to you that i have the treasures of allah and i do not know the unseen, nor do i say that i am an angel, nor do i say about those whom your eyes hold in mean estimation (that) allah will never grant them (any) good-- allah knows best what is in their souls-- for then most surely i should be of the unjust.

Swahili

wala sikwambiini kuwa nina khazina za mwenyezi mungu; wala kuwa mimi najua mambo ya ghaibu; wala sisemi: mimi ni malaika. wala siwasemi wale ambao yanawadharau macho yenu kuwa mwenyezi mungu hatawapa kheri - mwenyezi mungu anajua yaliomo katika nafsi zao - hapo bila ya shaka ninge kuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,867,946,864 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK