From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in this blog post, blogger befeqadu z hailu described the plight of imprisoned ethiopian journalists:
katika posti hii ya blogu, mwanablogu befeqadu z hailu alielezea hatari ya kufungwa inawakabili waandishi wa habari wa ethiopia:
berhanu nega, one of the men sentenced to death by an ethiopian court says he is not suprised by death penalty.
berhanu nega, mmoja kati ya watu waliohukumiwa kifo na mahakama ya ethiopia anasema hashangazwi na adhabu ya kifo.
in the afternoon, ethiopian dissident journalists pass their exile by chewing miraa and discussing the day's news.
nyakati za mchana waandishi wa habari wa ki-ethiopia waliokimbia kwao hupoteza wakati wao kwa kutafuna miraa na kubadilishana habari za matukio ya siku hiyo.
condolences poured in on twitter after an ethiopian airlines jet plunged into the mediterranean minutes after its take off from beirut, lebanon.
rambirambi zilimiminika kwenye twita baada ya ndege ya shirika la ndege la ethiopia kuanguka kwenye (bahari ya) mediterani dakika chache baaday ya kupaa ikitokea beirut, lebanoni.
after political discussions in ethiopian, leaders of various somali parties agreed to political steps to end the transitional period and elect a new president.
baada ya majadiliano ya kisiasa nchini ethiopia, viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vya somalia walikubaliana kuchukua hatua za kisiasa ili kumaliza kipindi cha mpito na kumchagua raisi mpya.
working as a senior reporter, she tried to inspire optimism about hihg-quality journalism that the ethiopian state media has rarely exhibited.
akifanya kazi kama mwandishi wa habari mwandamizi, alijaribu kuonesha msimamo wake kwenye uandishi habari ulio na ubora ambao vyombo vya habari vinavyomilikiwa na taifa la ethiopia havikuwahi kuuonesha.
i will be flying from the uk to addis on friday on ethiopian airlines and, despite today’s tragedy, i am looking forward to it.
nitasafiri kwa ndege kutoka uingereza kwenda addis siku ya ijumaa kwa shirika la ndege la ethiopia na, pamoja na balaa la leo, bado ninatarajia (safari).
the reporter, a local biweekly english newspaper, reports that the ethiopian government has started evaluating the performance of investors who acquired large tracts of land to undertake commercial farm projects.
mwandishi wa gazeti la the reporter ethiopia la nchini humo, linalotoka mara mbili kwa juma, anasema kwamba serikali ya ethiopia imeanza kutathmini ufanisi wa wawekezaji waliojipatia sehemu kubwa ya ardhi kwa lengo la kuanzisha miradi mikubwa ya kilimo.
in 2010, the election ended in a landslide victory for the incumbent ethiopian people's revolutionary democratic front, taking 99.6 percent of parliamentary seats.
mwaka 2010, uchaguzi ulikipa ushindi wa kishindo chama kinachotawala nchi hiyo cha people's revolutionary democratic front, kilichopata asilimia 99.6 ya viti bungeni.
alongside the now-famous case of the zone9 bloggers, there are so many detained ethiopian bloggers, online activists and politicians, whose names are not yet on the map.
sambamba na kesi maarufu sasa ya wablogu wa zone9, kuna wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na wanasiasa wengine wengi wa ki-ethiopia waliowekwa ndani ingawa majina yao bado hayajatajwa.
according to the ethiopian human rights project (ehrp), he was beaten by a person using a stick, and his feet were whipped by someone using a computer plug cable.
kwa mujibu wa mradi wa haki za binadamu wa ethiopia (ehrp), abel alipigwa na mtu kwa kutumia fimbo na mwingine aliichapa miguu yake mara kwa mara kwa kutumia waya wa kuchajia ngamizi.