Results for exhorted translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

that is what you are exhorted to do.

Swahili

mnapewa maonyo kwa hayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

by that is exhorted whoever believes in god and the last day.

Swahili

hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to this you are exhorted, and god is well aware of what you do.

Swahili

na mwenyezi mungu anayajua yote mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

unto this ye are exhorted; and allah is informed of what ye do.

Swahili

na mwenyezi mungu anayajua yote mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that is to what all those that believe in allah and the last day are exhorted.

Swahili

na simamisheni ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu. hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he exhorted his people to prayer and almsgiving, and his lord was pleased with him.

Swahili

na alikuwa akiwaamrisha watu wake sala na zaka, na alikuwa mbele ya mola wake mlezi mwenye kuridhiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that is that wherewith ye are exhorted; and allah is of whatsoever ye work aware.

Swahili

mnapewa maonyo kwa hayo. na mwenyezi mungu anayajua yote mnayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and did they do that which they are exhorted to do, it would be for them better and more strengthening.

Swahili

na lau kama wangeli fanya walio waidhiwa ingeli kuwa bora kwao na uthibitisho wa nguvu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as ye know how we exhorted and comforted and charged every one of you, as a father doth his children,

Swahili

mnajua kwamba sisi tulimtendea kila mmoja wenu kama vile baba anavyowatendea watoto wake mwenyewe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and to midian we sent forth their brother shu'ayb he exhorted them: o my people!

Swahili

na kwa watu wa madyana tulimtuma ndugu yao shua'ib. akasema: enyi watu wangu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and judas and silas, being prophets also themselves, exhorted the brethren with many words, and confirmed them.

Swahili

yuda na sila, ambao nao walikuwa manabii, walizungumza na hao ndugu kwa muda mrefu wakiwatia moyo na kuwaimarisha.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if the enemy had entered from all sides and they had been exhorted to treachery, they would have committed it, and would have hesitated thereupon but little.

Swahili

na lau kuwa wangeli ingiliwa kwa pande zote, kisha wakatakiwa kufanya khiana, wangeli fanya, na wasingeli sita ila kidogo tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then when they forgot that wherewith they had been exhorted, we delivered those who restrained from evil, and we laid hold of those who did wrong with a distressing torment for they were wont to transgress.

Swahili

basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then, when they forgot what they had been exhorted, we delivered those who forbade evil and afflicted the wrong-doers with a grievous chastisement because of their evildoing.

Swahili

basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and abraham exhorted his sons, and jacob, “o my sons, god has chosen this religion for you, so do not die unless you have submitted.”

Swahili

na ibrahim akawausia wanawe, na pia yaaqub: enyi wanangu! hakika mwenyezi mungu amekuteulieni dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa waislamu, wanyenyekevu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and hold not allah's commandments in mockery and remember allah's favour upon you, and that he hath sent down unto you the book and the wisdom wherewith he exhorted you; and fear allah, and know that verily allah is of everything the knower

Swahili

na kumbukeni neema ya mwenyezi mungu juu yenu, na aliyo kuteremshieni katika kitabu na hikima anacho kuonyeni kwacho. na mcheni mwenyezi mungu, na jueni kwamba hakika mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,408,026 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK