From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
he exhorteth you in order that ye may take heed.
anakuwaidhini ili mpate kukumbuka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
allah exhorteth you lest ye may ever revert to the like thereof, if ye are believers indeed.
mwenyezi mungu anakuonyeni msirejee tena kufanya kama haya kabisa, ikiwa nyinyi ni waumini!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
verily excel lent is that wherewith allah exhorteth you verily allah is ever hearing, beholding.
hakika haya anayo kuwaidhini mwenyezi mungu ni mazuri sana. hakika mwenyezi mungu ndiye mwenye kusikia, mwenye kuona.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
verily allah commandeth justice and well-doing and giving to kindred; and he prohibiteth lewdness and wickedness and oppression; he exhorteth you that haply ye may beadmonished.
hakika mwenyezi mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa; na anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. anakuwaidhini ili mpate kukumbuka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
or he that exhorteth, on exhortation: he that giveth, let him do it with simplicity; he that ruleth, with diligence; he that sheweth mercy, with cheerfulness.
mwenye kipaji cha kuwafariji wengine na afanye hivyo. mwenye kumgawia mwenzake alicho nacho na afanye hivyo kwa ukarimu. msimamizi na asimamie kwa bidii; naye mwenye kutenda jambo la huruma na afanye hivyo kwa furaha.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: