From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
expression
kujieleza
Last Update: 2024-12-02
Usage Frequency: 1
Quality:
match as _regular expression
match entire word only
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
and taught him clear expression.
akamfundisha kubaini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
freedom of expression is at risk in algeria.
uhuru wa maoni uko shakani algeria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
while expression of contempt in expression of contempt
huku ng'o kule ng'o
Last Update: 2017-08-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for many, it is an attack on freedom of expression.
kwa wengi hili ni shambulio dhidi ya uhuru wa kujieleza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
russia deployed facial recognition technology to detect quarantine breakers.
urusi ilieneza teknolojia ya utambuzi wa uso ili kuwagundua wavunja sheria ya karantini.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the universal human right to free expression is fundamental to our mission.
haki ya binadamu ya kimataifa ya uhuru wa kujieleza ndiyo kipau mbele chetu katika dira yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a common theme is an expression of anger and confrontation with the police.
wazo kuu linalowaunganisha ni kuonyesha hasira na mapambano dhidi ya polisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
netizen report: ethiopia cracks down on free expression, april 30, 2014
taarifa ya watumiaji wa mtandao: ethiopia yaminya uhuru wa maoni, aprili 30, 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
winners will be selected by a panel of experts in the field of freedom of expression.
washindi watachaguliwa na jopo la wataalamu katika nyanja ya uhuru wa kujieleza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
during a trial in may, abel was once again punished for using his right to expression.
wakati wa shitaka lake la mwezi mei, kwa mara nyingine tena abel aliadhibiwa kwa kutumia haki yake ya kujieleza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ace2 mrna expression is also found in the cerebral cortex, striatum, hypothalamus, and brainstem.
onyesho la ace2 mrna linapatikana pia katika utando wa bongo, striatum, hypothalamus, na mfumo wa ubongo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to the report, latin america is going through a crucial moment for freedom of expression.
kwa mujibu wa ripoti, amerika ya kusini iko katika wakati muhimu kwa uhuru wa kujieleza.
Last Update: 2023-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
advocacy, given to an activist or group that has used online tools to promote free expression or encourage political change
utetezi, itatolewa kwa mwanaharakati au kikundi ambacho kimetumia nyenzo za kwenye mtandao kukuza uhuru wa kujieleza au kuhamasisha mabadiliko ya kisiasa
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chileans want an education system that promotes education as public good and enables all citizens to engage in critical thinking and free expression.
wachile wanataka mfumo wa elimu unaohimiza elimu kuwa bidhaa huru kwa watu wote na inawawezesha raia wote kushiriki kwenye tafakuri tunuizi na kujieleza kwa uhuru zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we believe their arrest is a violation of their universal right to free expression, and that the charges filed against them are unjust.
tunaamini kukamatwa kwao ni uvunjaji wa haki za kimataifa za kujieleza, na kwamba mashitaka yaliyofunguliwa dhidi yao si halali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to the european parliament, his detention is part of syrian government efforts to restrict access to online communities and stifle freedom of expression in the country.
kwa mujibu wa bunge la ulaya, kukamatwa kwake ni sehemu ya jitihada za serikali ya syria kujaribu kuzuia upatikanaji wa mtandao kwa jamii ya mtandaoni na hata kuminya uhuru wa kujieleza nchini humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as more africans come to realize the power of blogging as a tool for expression on a global scale, the number of bloggers has increased and so has the themes in focus.
kadri waafrika wengi wanavyozidi kugundua nguvu ya kublogu kama zana ya kutoa maoni kwa kiwango cha dunia nzima, tarakimu ya wanablogu imeongezeka na pia maudhui yanayopewa kipaumbele.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as a community of bloggers and activists from over 160 countries, we invoke the universal human right to free expression each day, as we tell stories from underrepresented communities around the world.
kama jumuia ya wanablogu na wanaharakati kutoka nchi zaidi ya 160, kila uchao tunatetea na kusihi haki ya msingi ya binadamu ya uhuru wa kujieleza, kwani tumekuwa tukiandika na kusambaza habari kutoka kwenye jamii ya watu wasioweza kusikika na wala kusikilizwa kwa urahisi kutoka ulimwenguni kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: