From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but wilt thou know, o vain man, that faith without works is dead?
mpumbavu wee! je, wataka kuonyeshwa kwamba imani bila matendo imekufa?
Last Update: 2023-07-19
Usage Frequency: 3
Quality:
therefore we conclude that a man is justified by faith without the deeds of the law.
maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
no one can have faith without the permission of god.
na hawezi mtu kuamini ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he is dead
amefariki
Last Update: 2022-03-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
even so faith, if it hath not works, is dead, being alone.
vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
seems prabhakaran is dead.
pengine prabhakan amefariki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
let us hold fast the profession of our faith without wavering; (for he is faithful that promised;)
tushikilie imara tumaini lile tunalokiri, maana mungu aliyefanya ahadi zake ni mwaminifu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and as for him whose measure of good deeds is light,
na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for he that is dead is freed from sin.
kwa maana, mtu aliyekufa, amenasuliwa kutoka katika nguvu ya dhambi.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
indeed for those who believed and did good deeds, is a limitless reward.
hakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mehdi hassan is dead, but i am not sad.
mehdi hassan amefariki, lakini sihuzuniki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
then said jesus unto them plainly, lazarus is dead.
basi, yesu akawaambia waziwazi, "lazaro amekufa;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
so to clarify, mubarak is dead/alive-ish.
kwa hivyo kwa kufafanua tu, mubarak amefariki na yu hai bado.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for the unbelievers awaits a terrible punishment, but for those who believe and do good deeds is forgiveness and a great recompense.
walio kufuru watakuwa na adhabu kali; na walio amini na wakatenda mema watapata msamaha na ujira mkubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
then those whose balance (of good deeds) is heavy,- they will attain salvation:
ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
when the record of every one's deeds is placed before him, you will see the criminals terrified from what the record contains.
na kitawekwa kitabu. basi utawaona wakosefu wanavyo ogopa kwa yale yaliomo humo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
south korea: north korean dictator, kim jong il is dead · global voices
korea kusini: dikteta kim jong il wa korea ya kaskazini afariki dunia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a good deed is multiplied by god and richly rewarded.
na ikiwa ni jambo jema basi yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo makubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and as for him whose measure (of good deeds) is light those are they who have made their souls suffer loss because they disbelieved in our communications.
na watakao kuwa na uzani khafifu, basi hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao kwa sababu ya kuzipinga ishara zetu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and those who have earned evil deeds, the recompense of an evil deed is the like thereof, and humiliating disgrace will cover them (their faces).
na wale walio chuma maovu, malipo ya uovu ni mfano wake vile vile, na yatawafika madhila.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: