From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
who it is unto whom cometh a doom that will abase him, and on whom there falleth everlasting doom.
ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mshukia adhabu ya daima.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and unto allah falleth prostrate whosoever is in the heavens and the earth, willingly or unwillingly, as do their shadows in the morning and the evening hours.
na viliomo mbinguni na katika ardhi vinamsujudia mwenyezi mungu tu vikitaka visitake. na pia vivuli vyao asubuhi na jioni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for all flesh is as grass, and all the glory of man as the flower of grass. the grass withereth, and the flower thereof falleth away:
kama maandiko yasemavyo: "kila binadamu ni kama nyasi, na utukufu wake wote ni kama maua ya porini. nyasi hunyauka na maua huanguka.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
not a leaf falleth but he knoweth it, nor a seed-grain groweth in the darkness of the earth, nor aught of fresh or dry but is in a book luminous.
na halidondoki jani ila analijua. wala punje katika giza la ardhi, wala kinyevu, wala kikavu ila kimo katika kitabu kinacho bainisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but he, knowing their thoughts, said unto them, every kingdom divided against itself is brought to desolation; and a house divided against a house falleth.
lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, "ufalme wowote uliofarakana wenyewe, hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yeyote inayofarakana huangamia.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
not a leaf falleth but he knoweth it, not a grain amid the darkness of the earth, naught of wet or dry but (it is noted) in a clear record.
wala punje katika giza la ardhi, wala kinyevu, wala kikavu ila kimo katika kitabu kinacho bainisha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for the sun is no sooner risen with a burning heat, but it withereth the grass, and the flower thereof falleth, and the grace of the fashion of it perisheth: so also shall the rich man fade away in his ways.
jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and the likeness of those who expend their riches seeking the pleasure of allah and for the strengthening of their souls is as the likeness of a garden on a height. a heavy rain falleth upon it, and it yieldeth its fruits two-fold and if no heavy rain falleth upon it, then a gentle rain and allah is of that which ye work beholder.
na mfano wa wale wanao toa mali zao kwa kuitafuta radhi ya mwenyezi mungu na kuzipa nguvu roho zao ni kama mfano wa bustani iliyo mahali pa juu, ikaifikia mvua kubwa na ikaleta mazao yake mardufu; na hata kama haifikiwi na mvua kubwa basi manyunyu hutosha. na mwenyezi mungu anayaona mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: