Results for fascinating translation from English to Swahili

English

Translate

fascinating

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

fascinating meaning in english

Swahili

fascinating meaning in english

Last Update: 2020-11-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

however, there is a really fascinating chart by ericsson in it on wireless usage.

Swahili

hata hivyo, kuna mchoro wa ericsson kuhusu matumizi ya mtandao wa si-waya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the world breaking record was amazing but what was even more fascinating was the fact that bolt slowed down and started to celebrate his victory from approximately the 80m mark!

Swahili

uvunjaji huo wa rekodi ulikuwa ni wa kustaajabisha lakini linalosisimua zaidi ni ukweli kwamba bolt alipunguza kasi na kuanza kusherehekea ushindi wake takriban kwenye alama ya mita 80!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this is a fascinating love story between sam from kibera, a slum in the city of nairobi, kenya and alissa from minnesota, usa:

Swahili

hii ni hadithi ya kusisimua ya mapenzi kati ya sam, anayetoka kibera, makazi ya masikini kwenye jiji la nairobi, kenya, na alissa, anayetoka minnesota, marekani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

after a long absence, a number of fascinating sudanese bloggers, return to the blogosphere to rant, share their thoughts on recent events and vent.

Swahili

baada ya kimya kirefu, wanablogu wa kisudani, wamerejea kwenye ulimwengu wa blogu kuongea, na kushirikiana mawazo kuhusu matukio ya hivi karibuni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he is also the co-author of one of the most comprehensive studies on social attitudes towards media in the middle east, which you can read here in this fascinating interactive website.

Swahili

pia alishiriki kuandika moja ya maandishi muhimu zaidi kuwahi kuandikwa kuhusu mitazamo ya kijamii kwa vyombo vya habari katika eneo la mashariki ya kati, ambalo unaweza kulisoma katikatovuti hii bora inayoshirikisha wasomaji wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

covering literature, visual arts, music, performance, cultural studies, and more, repeating islands posts up to six or seven new items daily: links to articles and interviews, information about new books and exhibitions, and fascinating oddments.

Swahili

jarida hilo linashughulikia fasihi, sanaa ya maonyesho, muziki, sanaa za kuchora, stadi za kitamaduni, na mengine mengi. repeating islands hupandisha kati ya makala sita hadi saba kila siku: viungo vya makala na mahojiano, taarifa kuhusu vitabu na maonyesho, and mambo mengine mengi ya kuvutia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,648,391,778 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK