From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the fastest
fuli
Last Update: 2018-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this was our fastest growing campaign, with thousands of people signing up every day.
hii ilikuwa ni kampeni yetu iliyokuwa na kasi kubwa kabisa kuliko nyingine yoyote ambapo, maelfu ya watu walikuwa wakijiunga kila siku.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"did i tell you that two men from the caribbean are the fastest men in the world?"
"hivi nimeshakueleza kuwa watu wawili kutoka karibeani ndiyo wana kasi kuliko wote duniani?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the african development bank's (afdb) designation of dar es salaam as the fastest growing city in east africa is almost literally palpable.
mji wa dar es salaam umepewa hadhi na benki ya maendeleo ya afrika (afdb) kama jiji linalokuwa kwa kasi zaidi afrika mashariki ni jambo lisilohitaji ushahidi hata kidogo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
almost a third of countries in the region are growing at 6% and more, and african countries are now routinely among the fastest-growing countries in the world notes that poverty and inequality remain “unacceptably high and the pace of reduction unacceptably slow.”
takribani theluthi ya nchi zilizo kwenye eneo hilo zina uchumi unaokua kwa asilimia 6 na zaidi, na nchi za afrika hivi sasa zimekuwa kati ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi duniani inabainisha kuwa umasikini na hali ya kutokuwepo usawa vinabaki kuwa “juu isipokubalika wakati kasi ya kupungua pengo hilo ni dogo mno.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: