From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in 2025, uganda is likely to experience water stress according to recent report on water resources.
mwaka 2025, uganda inaweza kukabiliwa na ukosefu wa maji kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni kuhusu vyanzo vya maji.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
his throne existed on water so that he could test you and find out those among you who do good deeds.
na kiti chake cha enzi kilikuwa juu ya maji, ili akufanyieni mtihani ajuulikane ni nani miongoni mwenu mzuri zaidi wa vitendo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
together, we have massively hit the blogosphere with thousands of posts on water, climate change, poverty, food and the power of we.
kwa pamoja, huwa utaratibu wa kuvamia anga la blogu kwa kuchapisha maelfu ya posti kuhusu masuala ya maji, mabadiliko ya tabia nchi, umasikini, chakula na nguvu ya pamoja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
neither is it allowable to the sun that it should overtake the moon, nor can the night outstrip the day; and all float on in a sphere.
haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. na vyote vinaogelea katika njia zao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
corruption in the water sector is ripe and involves all classes of people ranging from the ordinary man, politicians, heads of water institutions and even non-governmental organizations working in this sector.report on “corruption in the water sector” by water integrity network in a book titled “training manual on water integrity” states that in the sub-sahara africa, forty-four percent (44 %) of the countries are unlikely to attain the millennium development goal target for drinking water eighty-five percent (85%) are unlikely to attain the sanitation aspect.
utoaji rushwa katika sekta ya maji ni jambo la kawaida na inahusisha madaraja yote ya watu kuanzia mtu wa kawaida, wanasiasa, wakuu wa taasisi ya maji na hata mashirika yasiyo ya serikali wanaofanya kazi katika hii sekta. ripoti juu ya "utoaji rushwa katika sekta ya maji" kupitia mtandao wa uadilifu wa maji katika kitabu chenye jina la "mafunzo ya mwongozo wa uadilifu wa maji " inasema kwamba katika jangwa la sahara afrika, asilimia arobaini na nne (44%) ya nchi haina uwezekano wa kufikia lengo la maendeleo ya milenia la upatikanaji wa maji ya kunywa, asilimia themanini na tano (85%) hawana uwezekano wa kufikia kipengele cha usafi wa mazingira.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.