Results for fortunately translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

fortunately

Swahili

kwa ajili ya kuzifata

Last Update: 2020-06-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately, the haze was already gone last weekend.

Swahili

kwa bahati nzuri, vumbi lilikuwa tayari kimekwisha mwishoni mwa wiki iliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately or unfortunately, the market’s days are numbered.

Swahili

kwa bahati nzuri au mbaya, siku za zoko hilo zinahesabika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately innocent, his wife and 5 kids are okay and they were not robbed.

Swahili

kwa bahati nzuri innocent, mkewe na watoto 5 wako salama na hawakuporwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately, most of us have been bloggers ourselves, so we see both sides.

Swahili

kwa bahati, wengi wetu tumeshawahi kuwa mabloga, kwa hiyo tunaweza kuona pande zote mbili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately 'bigots' do not have the support of the mainstream australian political parties.

Swahili

kwa bahati nzuri ‘wabaguzi’ hawaungwi mkono na vyama vikuu vya siasa vya australia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately, the forum technology that will be used, ibm jam, has been already been tested in previous events.

Swahili

kwa bahati nzuri, teknolojia ya jukwaa litakalotumika, linaloitwa ibm jam, tayari limekwishafanyiwa majaribio katika matukio yaliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately, there are groups like eiler which are campaigning for the elimination of the worst forms of child labor in the country.

Swahili

kwa bahati nzuri, yamekuwepo makundi kama vile eiler yanayoendesha kampeni ya kukemea aina mbalimbali za utumikishwaji wa watoto nchini philippenes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fortunately, the weather was good on april 18 in the late afternoon, as the students started to gather at one entrance of chaoyang park to commemorate the victims.

Swahili

kwa bahati nzuri, hali ya hewa ilikuwa murua alasiri ya aprili 18, wanafunzi walipoanza kujikusanya kwenye moja wapo ya malango ya kuingilia bustani ya chaoyang ili kuwakumbuka marehemu wa shambulizi hilo la garissa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it's difficult to get a seat on a spaceship, but fortunately, it's easy to find online satellite images from above.

Swahili

ni vigumu kupata kiti katika vyombo vinavyovinjari anga za mbali, lakini kwa bahati, ni rahisi kupata picha za setilaiti zinazopigwa kutoka juu angani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but fortunately the drone-mounted camera that filmed us in front of cebu city’s grand provincial capitol building on the afternoon of january 25, 2015 hovered only a few hundred feet above us, a fraction of the global voices community assembled into a very respectable-looking—considering how quickly we did it—column-and-circle formation representing the 10 years of our existence.

Swahili

lakini kwa bahati nzuri kifaa mithili ya eropleni kilichofungwa kamera kiliweza kutuchukua picha za video tukiwa mbele ya jengo la provincial capital la mamlaka ya jiji la cebu majira ya mchana wa januari 25, 2015, kikiwa umbali wa mamia kadhaa ya futi tokea ardhini, tukiwa ni sehemu tu ya wanajamii wa global voices tuliokuwa tumekusanyika katika muonekano wa kipekee kabisa-na ikizingatiwa namna tulivyokusanyika hivyo kwa haraka-mpangilio wa mstari mmoja na mduara uliowakilisha miaka 10 ya kuwepo kwetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,776,941,017 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK