From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
world science forum
kongamano la dunia la sayansi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jinsi ya kuandika essay jamii forum
jinsi ya kuandika insha jamii forum
Last Update: 2024-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:
photo released under creative commons by the world economic forum.
picha imetolewa chini ya leseni ya creative commons na world economic forum.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yasser arafat at the world economic forum in davos, january 2001.
yasser arafat katika mkutano wa jukwaa la uchumi wa dunia mjini davos, januari 2001.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this is the second installment of the forum following the initial one in paris in 2013.
huu ni mkutano wa pili kufuatia ule uliofanyika paris mwaka 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
photo by ntu news e-forum's reporter 張慈安 tzu-an chang.
picha ya mwandishi wa ntu news e-forum 張慈安 tzu-an chang.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the banner for the 2014 forum for francophone women in kinshasa, drc - public domain
nembo ya mkutano wa wanawake wa nchi zizuingumzao kifaransa 2014 jijini kinshasa, drc - kwa matumizi ya umma
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
neelkabyo writes this about the helpless situation of the street girls at addar asor forum:
neelkabyo anaandika kuhusu hali ilivyo mbaya inayowakabili wasichana wa mitaani hapa jukwaa la addar asor:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"i think it could provide a forum for young people to create their own space.
“nafikiriinaweza kutoa jukwaa kwa vijana kuunda sehemu yao wenyewe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
fortunately, the forum technology that will be used, ibm jam, has been already been tested in previous events.
kwa bahati nzuri, teknolojia ya jukwaa litakalotumika, linaloitwa ibm jam, tayari limekwishafanyiwa majaribio katika matukio yaliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
one of hamed's friends posted a letter in a discussion forum on flickr seeking support for hamed:
mmoja wa marafiki wa hamed alituma barua katika jukwaa la majadiliano la kwenye mtandao wa flickr akitaka hamed kuungwa mkono:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a former child worker from mindanao, pitang, shares her experience in the plantations during a recent public forum organized by eiler:
pitang, kutoka mindanao, ambaye ni mmoja wa watoto waliokuwa wakitumikishwa aelezea uzoefu wake wa kufanya kazi kwenye mashamba makubwa wakati wa mijadala ya wazi iliyoandaliwa na eiler:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tembo is reported to have already been put forward as the mcp's candidate in the next elections in 2014, according to chris banda on the internet forum malawitalk.
imedaiwa kwamba bwana tembo amependekezwa kuwa mgombea wa mcp katika uchaguzi ujao wa 2014, kwa mujibu wa chris banda kwenye mtandao wa malawitalk.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on the internet forum nyasanet, the question of who will be chosen to fill cabinet posts is being debated on the basis of the intelligentsia voted into the legislature, which is being likened to an academic symposium.
katika mtandao wa nyasanet, swali la ni nani atakayechaguliwa kwenye baraza la mawaziri linajadiliwa katika msingi wa wasomi waliochaguliwa kuingia kwenye baraza la wawakilishi, ambalo linafananishwa na kongamano la wasomi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the forum, netizens' questions focused on national mobile telephonic services, cost and access to the internet, highlighting the impossibility of connecting to the internet from cuban homes.
katika mijadala ya mtandaoni maswali yalijikita zaidi kwenye huduma za kitaifa za simu za mikononi, gharama na na upatikanaji wa huduma ya intaneti, wakizungumzia hali ya kutokuwapo kwa uwezekano wa kupata huduma ya intaneti watu wakiwa majumbani mwao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
meanwhile, on the sidelines of the world blogging forum in bucharest, romania, global voices online held a first aborted interview with parvana persiani, an executive board member of the ol!
wakati huo huo, kwenye pembe za kongamano la dunia la kublogu mjini bucharest, romania, global voices online ilifanya mahojiano yaliyoshindikana na parvana persiani, mjumbe wa heshima wa bodi ya ol!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the world science forum (wsf) gathers hundreds of scientists from all around the world this week in brazil, to discuss their role in the 21st century and to emphasize the importance of scientific advice in political and economical decisions.
jukwaa la sayansi duniani (wsf) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi.
Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:
the day of the protests in budapest ended with two student events' participants marching to the chain bridge, where they held a forum, inviting the minister of human resources and the prime minister to guarantee that the students' demands are met.
siku ya mwisho ya maandamano mjini budapest ilimalizika kwa matukio mawili ya wanafunzi washiriki kutembea hadi kwenye daraja ambalo majadiliano lifanyikia ilikumkaribisha waziri wa rasilimali watu pamoja na waziri mkuu ili wathibitishe kuwa madai yao yameshatekelezwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: