Results for forwarded translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

'this, is the reward for what your hands have forwarded.

Swahili

(ataambiwa): hayo ni kwa sababu ya iliyo tanguliza mikono yako.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he shall say, 'o would that i had forwarded for my life!'

Swahili

atasema: laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but, because of what their hands forwarded they will never long for it.

Swahili

wala hawatayatamani kabisa, kwa sababu ya iliyo kwisha yatanguliza mikono yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

how would it be if some affliction hit them for what their hands have forwarded?

Swahili

basi inakuwaje unapo wasibu msiba kwa sababu ya yale iliyo tanguliza mikono yao?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that is for what your hands have forwarded, allah is not unjust to his worshipers'

Swahili

hayo ni kwa sababu ya yale yaliyo kwisha tangulizwa na mikono yenu, na hakika mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

fear god, and let every soul consider what it has forwarded for the morrow, and fear god.

Swahili

mcheni mwenyezi mungu, na kila nafsi iangalie inayo yatanguliza kwa ajili ya kesho. na mcheni mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he will say: 'would that i had forwarded (good works) for my life!'

Swahili

atasema: laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

'that is for what thy hands have forwarded and for that god is never unjust unto his servants.'

Swahili

(ataambiwa): hayo ni kwa sababu ya iliyo tanguliza mikono yako. na hakika mwenyezi mungu si dhaalimu kwa waja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but they will never long for it, because of that their hands have forwarded; god knows the evildoers;

Swahili

wala hawatayatamani kamwe kwa sababu ya yale yaliyo tangulizwa na mikono yao; na mwenyezi mungu ni mwenye kuwajua vyema wanao dhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

evil is that they have forwarded to their account, that god is angered against them, and in the chastisement they shall dwell forever.

Swahili

hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata mwenyezi mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

evil is that to which their souls forwarded them, that allah is angered against them, and in the punishment they shall live for ever.

Swahili

hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata mwenyezi mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"this is because of that which your hands had forwarded. and verily, allah is not unjust to his slaves."

Swahili

hayo ni kwa sababu ya yale yaliyo kwisha tangulizwa na mikono yenu, na hakika mwenyezi mungu si mwenye kuwadhulumu waja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

surely, it is we who revive the dead and write down what they have forwarded and what they have left behind; we have counted everything in a clear book.

Swahili

hakika sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when we let man taste mercy from us, he rejoices in it; but if some evil befalls him for that his own hands have forwarded, then surely man is unthankful.

Swahili

na hakika sisi tukimwonjesha mtu rehema kutoka kwetu, huifurahia. na akisibiwa na ovu kwa sababu ya iliyo yatanguliza mikono yao, basi hakika mtu huyu anakufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

how shall it be, when they are visited by an affliction for what their own hands have forwarded, then they come to thee swearing by god, 'we sought only kindness and conciliation'?

Swahili

basi inakuwaje unapo wasibu msiba kwa sababu ya yale iliyo tanguliza mikono yao? hapo tena hukujia wakiapa kwa mwenyezi mungu wakisema: hatukutaka ila wema na mapatano.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lo, we have warned you of a nigh chastisement, upon the day when a man shall behold what his hands have forwarded, and the unbeliever shall say, 'o would that i were dust!'

Swahili

hakika tumekuhadharisheni adhabu iliyo karibu kufika; siku ambayo mtu atakapo ona yaliyo tangulizwa na mikono yake; na kafiri atasema: laiti ningeli kuwa udongo!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and not say, when evil befalls them on account of that which their hands forwarded: 'our lord, why did you not send a messenger to us so that we might follow your verses and so that we might be among the believers'

Swahili

na usije kuwasibu msiba kwa iliyo yatanguliza mikono yao, wakasema: ewe mola wetu mlezi! mbona hukututumia mtume nasi, tukafuata ishara zako, na tukawa miongoni mwa waumini?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,224,518,500 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK