Results for fourteen lane translation from English to Swahili

English

Translate

fourteen lane

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

fourteen political parties participated in the elections.

Swahili

vyama vya kisiasa kumi na vinne vilishiriki uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the time from exposure to onset of symptoms is typically around five days but may range from two to fourteen days.

Swahili

kuanzia muda wa kuambukizwa na dalili kuonekana kwa kwaida ni karibu siku tano lakini inaweza kuanzia siku ya pili au ya kumi na nne.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the time from exposure to onset of symptoms is typically around five days, but may range from two to fourteen days.

Swahili

wakati kutoka kuambukizwa hadi kuonekana kwa dalili kwa kawaida ni karibu siku tano, lakini huenda ikawa kati ya siku mbili hadi kumi na nne.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so all the generations from abraham to david are fourteen generations; and from david until the carrying away into babylon are fourteen generations; and from the carrying away into babylon unto christ are fourteen generations.

Swahili

basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu abrahamu mpaka daudi, vizazi kumi na vinne tangu daudi mpaka wayahudi walipochukuliwa mateka babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so strong was ms suu kyi’s passion for myanmar, she has spent close to fourteen years under detention in a lakeside villa in yangon, choosing to stay for fear that the military junta would not allow her in again if she left.

Swahili

mapenzi ya bibi suu kyi kwa nchi yake ya myanmar yamekuwa makubwa kiasi kwamba ametumikia kifungo cha nyumbani kwa takribani miaka kumi na nne katika nyumba iliyo kandokando ya ziwa huko yangon, ambapo amechagua kuishi kwa kuhofia kwamba huenda utawala wa mabavu wa kijeshi hautamruhusu tena kurudi ikiwa atatoka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the second gust, which was longer, came from different hands: ministerial police opened fire against the students from the right lane (of the highway from north to south) it didn't take long for the federal police to aim at the same target.

Swahili

mfumuko wa pili ambao ulikuwa mrefu zaidi, ulitokea kwenye mikono tofauti: polisi wa wizara waliwafytulia risasi wanafunzi kutokea upande wa kulia (wa barabara kuu kutokea kaskazini kwenda kusini) haikuwachukua muda mrefu polisi wa serikali kuu kulenga shabaha ile ile.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,651,327,961 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK