From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
framework contract
makubaliano ya mfumo
Last Update: 2024-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:
macho violence has a framework.
udhalilishaji wa macho una mfumo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in order to establish a collaboration of framework and development of port and art facilities
ili kuanzisha
Last Update: 2023-10-16
Usage Frequency: 1
Quality:
that ended with the ohrid framework agreement that granted greater minority rights for albanians in the country.
hali hiyo ilimalizika kwa mpango wa makubaliano wa ohrid uliotoa haki kwa walio wachache kwa waalibania nchini humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the hierarchy of hazard controls is a framework widely used in occupational safety and health to group hazard controls by effectiveness.
mfumo wa viwango ya udhibiti wa hatari ni mfumo unaotumiwa sana katika usalama wa kikazi na afya kuweka katika vikundi udhibiti wa hatari kulingana na ufanisi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the old framework of lifelong solidarity has not totally disintegrated; the new framework of capitalist individualism has not finished moving in.
mfumo wa zamani wa mshikamano wa maisha bado hujaporomoka; mfumo mpya wa ubinafsi wa kibepari hujamaliza kujongea ndani katika jamii zetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tracing the zoonotic origins of hcovs provides a framework to understand the natural history, driving force and restriction factors of species jumping.
kufuatilia chanzo cha hcov kutoka kwa wanyama hutoa utaratibu wa kuelewa historia asilia, msukumo na vigezo vya uzuiaji wa ugonjwa kusambaa baina ya aina za wanyama.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
aimed at providing a larger context and fostering the global voices mission, this collection of 2012 posts will try to parse out such complex framework and open up the horizon for the upcoming year.
ikiwa imelengwa kupanua mukhtadha na kukuza malengo ya global voices, this mkusanyiko huu wa posti za mwaka 2012 utajaribu kuelezea muundo huo changamani na kufungua upeo kwa ajili ya mwaka ujao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chief executive leung chun-ying held a press conference at 3:30 p.m. repeating his stand that election reform in hong kong has to be restricted by the framework set by beijing and that the police would take action against illegal protests, in accordance with the law.
mtawala mkuu wa hong kong leung chun-ying alifanya mkutano na waandishi wa habari saa 9:30 alasiri akirudia msimamo wake kwamba mabadiliko ya uchaguzi yatafanyika kwa muundo uliowekwa na beijing na kwamba polisi watachukua hatua kwa maandamano yaliyo kinyume cha sheria, kwa mujibu wa sheria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: