From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
let him call on his gang.
basi na awaite wenzake!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so let him now call his gang!
basi na awaite wenzake!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
“these are a small gang.
(wakieneza): hakika hawa ni kikundi kidogo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
comedian artist zhang gang complained:
msanii wa uchekeshaji, zhang gang alitoa malalamiko yake:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
he only invites his gang to be among the inmates of the inferno.
kwani yeye analiita kundi lake liwe katika watu wa motoni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in the city was a gang of nine who made mischief in the land and did no good.
na walikuwamo mjini watu tisa wakifanya ufisadi katika nchi wala hawafanyi la maslaha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in the news, i saw india roaring in protest against the gang-rape in a delhi bus.
kwenye habari, niliona india wakinguruma katika maandamano wakipinga ubakaji katika magenge katika gari la abiria la delhi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
after our training, a reformed gang leader requested an extra restitution session for the students of a vocational school in zinder.
mara baada ya mafunzo yetu, kiongozi wa kundi la vijana lililozaliwa upya aliomba kurudiwa kwa mafunzo hayo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya ufundi iliyopo zinder.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this is the title of an article by journalist nicholas kristof about a 9 year-old child that was the victim of gang rape in the drc.
hiki nikichwa cha makala kilichoandikwa na mwandishi nicholas kristof kuhusu mtoto wa miaka 9 ambaye alikuwa mhanga wa kubakwa na kundi la watu nchini kongo drc.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@maribelnexos: the national police, a criminal gang, shouts the #frenteafunglode crowd.
@maribelnexos: polisi wa taifa, genge la wavunja sheria, jamani pigeni kelele kupinga hili #frenteafunglode
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the beheadings of the men, who were reportedly members of a gang, bring saudi arabia's total number of executions this year to 47.
kunyongwa kwa watu hao, waliosemekana kuwa sehemu ya genge la majambazi, limefanya idadi ya watu walionyongwa nchini humu mwaka huu kufikia 47.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
due to the few of our guards that night many thieves and gangs were able to defeat the guards and succeed inside and start robbing
kutokana na uchache wa walinzi wetu usiku uo wezi wengi na makundi kwa makundi waliweza kuwashinda nguu walinzi na kufanikiwa ndani na kuanza kuiba
Last Update: 2019-10-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: