Results for gbagbo translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

200 hommes pour défendre gbagbo ?

Swahili

200 hommes pour défendre gbagbo ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

pro-gbagbo protests in paris, france, march 26, 2011.

Swahili

maandamano ya wanaomwunga mkono gbagbo jijini paris, machi 26, 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

côte d'ivoire: laurent gbagbo's fall · global voices

Swahili

côte d'ivoire: kuanguka kwa laurent gbagbo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

côte d'ivoire: gbagbo resists, africans protest · global voices

Swahili

côte d'ivoire: gbagbo agoma, waafrika waandamana

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

côte d'ivoire: abidjan in the waning hours of gbagbo's regime · global voices

Swahili

côte d'ivoire: abijani kwenye masaa ya kudhoofu kwa utawala wa gbagbo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on april 5, 2011, in douala, the economic capital of cameroon, moto taxi drivers gathered downtown in order to show their support to laurent gbagbo.

Swahili

siku ya april 5, 2011, mjini douala, mji mkuu wa kibiashara wa kameruni, madereva wa moto taxi walikusanyika katikati ya mji kwa minajili ya kuonesha wanavyomwuunga mkono laurent gbagbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the recent events in côte d'ivoire were closely followed on twitter, where #civ2010 and laurent gbagbo were trending topics in france:

Swahili

matukio ya hivi karibuni nchini côte d'ivoire yalifuatiliwa kwa karibu kwenye twita, ambako #civ2010 na laurent gbagbo ndizo zilikuwa mada zinazoongoza nchini ufaransa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the breaking news came in at 1 pm gmt on april 11, 2011: laurent gbagbo was arrested at his residence in cocody, with his wife, simone, and close entourage.

Swahili

habari mpya ziliingia saa 7 gmt siku ya aprili 11, 2011: laurent gbagbo alikamatwa katika makazi yake ya cocody, pamoja na mkewe, simone, na msafara wa watu wa karibu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to jeune afrique, the main african french language magazine, 100 angolan special forces are backing gbagbo's militaries who are protecting the presidential bunker where the former leader is still hiding.

Swahili

kwa mujibu wa jeune afrique, tjarida kubwa la kiafrika litokalo katika lugha ya kifaransa, vikosi maalumu 100 vya angola vinayaongezea nguvu majeshi ya gbagbo wanaolilinda handaki ambalo kiongozi huyo wa zamani anaendelea kujifichia humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he reported that the forces protecting laurent gbagbo number around 1,000 and explained that the main difficulty regarding the intervention of the presidential palace in cocody (where gbagbo is hiding) is the presence of numerous foreign embassies surrounding it.

Swahili

aliarifu kwamba vikosi vinavyomlinda laurent gbagbo ni kadri ya 1000 na akaeleza kwamba ugumu mkubwa kuhusiana na namna ya kuyavamia makazi ya rais sehemu ya cocody (anakojificha gbagbo) ni uwapo wa ofisin nyingi za kibalozi zinazolizunguka eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,911,597,826 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK