Results for gender roles translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

gender roles

Swahili

majukumu ya kijinsia

Last Update: 2022-01-25
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

gender

Swahili

usawa wa kijinsia

Last Update: 2024-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

gender blindness

Swahili

upofu wa kijinsia

Last Update: 2024-01-30
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

English

what is your gender

Swahili

taarifa ya idadi ya watu

Last Update: 2023-06-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

promoting gender equality

Swahili

kukuza usawa wa kijinsia

Last Update: 2020-06-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

end gender based violence

Swahili

ukatili wa kijinsia

Last Update: 2021-03-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

types of gender based violence

Swahili

aina za ukatili wa kijinsia

Last Update: 2022-01-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

what does gender inclusivity mean in kinango sub county??

Swahili

ujumuishaji wa jinsia unamaanisha nini nchini kenya?

Last Update: 2024-05-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ministry for health, community development,gender the elderly and children

Swahili

wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto

Last Update: 2021-08-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but foolish and unlearned questions avoid, knowing that they do gender strifes.

Swahili

epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this is one of those cases where gender-sensitive approach is needed.

Swahili

hili ni miongoni mwa matukio ambayo umakini wa usawa wa kijinsia lazima uzingatiwe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on engenerada they reflect on the construction of gender identities and the myhts usually associated to women and men.

Swahili

kwenye blogu ya engenerada kuna tafakari ya kina juu ya ujenzi wa utambulisho wa jinsia na masimulizi yanazyohusishwa na wanawake na wanaume.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he’s also had minor roles in western movies like tinker tailor solider spy and wanted.

Swahili

pia alichea kama mshiriki kwenye filamu za kimagharibi kama tinker tailor solider spy na wanted.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

finally, we can also ask ourselves and have the following doubt:does gender equality exist in politics?

Swahili

hatimaye, tunaweza pia kujiuliza na kuwa na shaka ifuatayo: je, usawa wa kijinsia upo katika siasa?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

after stating that it is better to speak of cultural and social construction as opposed to gender identities, they conclude:

Swahili

baada ya kusema kwamba ni bora kusema kuhusu ujenzi wa kitamaduni na kijamii kama kinyume na utambulisho wa jinsia, wanahitimisha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

since the revolution took place, egyptians both online and offline have been standing up against sexual harassment and gender-based violence.

Swahili

tangu mapinduzi yalipofanyika, wamisri wanaotumia mtandao wa intaneti na wasiotumia mtandao wa intaneti wamekuwa wakisimama imara kupinga udhalilishaji wa kijinsia pamoja na machafuko yatokanayo na kutokujali usawa wa binadamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

women’s roles in the ongoing egyptian anti-government uprising have captured the attention of bloggers and citizens spreading information on social networking sites.

Swahili

nafasi ya wanawake katika upinzani dhidi ya serikali unaoendelea nchini misri imenasa macho ya wanablogu na raia wanaoeneza habari kwenye tovuti za mitandao ya kijamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

inequality could refer to healthcare inequality, economic inequality, global inequality, educational inequality, racial inequality, gender inequality, social inequality, and many more unequal constellations.

Swahili

kutokuwepo kwa usawa kunaweza kumaanisha kutokuwepo kwa usawa kwenye huduma za afya, ubaguzi wa rangi, jinsia, masuala ya kijamii, na dhana nyinginezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

role model

Swahili

mfano wa barua ya maombi

Last Update: 2023-11-07
Usage Frequency: 6
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,100,328 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK