From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
how to use the generator
jinsi ya kutumia generator
Last Update: 2018-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to operate a generator on a tour of the lighthouse of freedom in the district
ku operate generator katika ziara ya kukimbiza mwenge wa uhuru wilayani
Last Update: 2024-06-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i am still operating a generator to be able to write those messages in minutes!
bado ninatumia jenereta kuweza kuandika jumbe hizi!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i bought a 5 hectare farm for irrigated agriculture, now i have run out of money! can you help me buy a generator?
nimenunua shamba heka 5 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji,kwa sasa nimeishiwa pesa! waweza kunisaidia nikanunua jenereta?
Last Update: 2020-08-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
those interviewed said, consistent power supply and an end to a diesel generator economy will make rebranding nigeria "effortless."
wale waliohojiwa walisema, ugavi wa umeme wa uhakika na mwisho wa uchumi unaotegemea mashjine za jenereta kutaizifanya jitihada za kutengeneza chapa mpya ya naijeria kuwa “rahisi.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
uganda also has experiences power outages or load-shedding, which affects health centres that have no standby generators since some medicine needs refrigeration.
pia, uganda ina tatizo sugu la kukatika kwa umeme ambalo linaathiri sana vituo vya afya ambavyo havina majenereta ya kutoa nishati hiyo pindi umeme unapokatika hasa kwa kuwa kuna dawa zinazohitaji kuhifadhiwa katika majokofu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: