From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
random sampling
imple random sampling
Last Update: 2022-04-04
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
establishment of extended virology sampling
kuunda sampuli iliyoendelezwa ya vairolojia
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
just a sampling of messages on twitter.
baadhi ya ujumbe kwenye twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these virology sampling practices are also recruited to be nationally representative (figure 1).
huduma za kuchukua sampuli za vairolojia pia ziliteuliwa kuwakilisha taifa nzima (picha ya 1).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the rcgp rsc practices participating in the annual influenza virology surveillance have started sampling from patients showing symptoms of a lrti.
huduma za rcgp rsc zinazoshiriki katika uchunguzi wa kila mwaka wa vairolojia ya homa ya mafua zimeanza kuchukua sampuli kutoka kwa wagonjwa wanaoonyesha dalili za lrti.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
opportunistic sampling for serology in children younger than 10 years might be limited due to the overall reduced rate of blood tests in children.
kuchukua sampuli kifursa kwa ajili ya serolojia kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 10 kunaeza kuwa na vizuizi kutokana na kupungua kwa viwango vya jumla vya vipimo vya damu kwa watoto.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
within the first 2 weeks of setup of this surveillance, we have identified 3 cases: 1 through the new coding system, the other 2 through the extended virology sampling.
ndani ya wiki 2 za kwanza za kuweka mipangilio ya uchunguzi huu, tumetambua visa 3: 1 kupitia mfumo mpya wa kuweka msimbo, vingine 2 kupitia kuendelea kuchukuliwa kwa sampuli ya viarolojia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as of march 7, 2020, the surveillance system has detected 2 cases of covid-19 in low-risk patients with no history of travel through extended virological sampling.
kufikia tarehe 7 machi 2020, mfumo wa uchunguzi umegundua visa 2 vya covid-19 miongoni mwa wagonjwa wa hatari cha chini ambao hawana historia ya usafiri kupitia sampuli zilizoendelezwa za viarolojia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: