From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and shall cast them into a furnace of fire: there shall be wailing and gnashing of teeth.
na kuwatupa katika tanuru ya moto, na huko watalia na kusaga meno.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and cast ye the unprofitable servant into outer darkness: there shall be weeping and gnashing of teeth.
na kuhusu huyu mtumishi asiye na faida, mtupeni nje gizani! huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
but the children of the kingdom shall be cast out into outer darkness: there shall be weeping and gnashing of teeth.
lakini wale ambao wangalipaswa kuwa katika ufalme huo watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and shall cut him asunder, and appoint him his portion with the hypocrites: there shall be weeping and gnashing of teeth.
atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
then said the king to the servants, bind him hand and foot, and take him away, and cast him into outer darkness; there shall be weeping and gnashing of teeth.
hapo mfalme akawaambia watumishi, mfungeni miguu na mikono mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga meno."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
there shall be weeping and gnashing of teeth, when ye shall see abraham, and isaac, and jacob, and all the prophets, in the kingdom of god, and you yourselves thrust out.
ndipo mtakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona abrahamu, isaka na yakobo, na manabii wote wapo katika ufalme wa mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: