Ask Google

Results for good pedagogical practices and in... translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

They also discussed the importance of content verification and best practices and taking your questions via the Q and A app. 

Swahili

Pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The prohibition dates back to the Meiji Period, when Japan adopted Western practices and institutions in the latter half of the 19th Century.

Swahili

Zuio hilo lilianza enzi za Meiji, wakati Japani ikianza kukubaliana na utamaduni na taasisi za kimagharibi kwenye nusu ya pili ya karne ya 19.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

But what do you do when you try to embrace your significant other's cultural practices and end up standing out among colleagues?

Swahili

Lakini, je, unafanyaje pale unapojaribu kukumbatia taratibu za kiutamaduni za mwenzako na kuishia kuonekana tofauti miongoni wa wenzako?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The score system also needs to be verified in further clinical practice and studies.

Swahili

Mfumo wa alama pia unahitaji kuthibitishwa katika matendo na utafiti wa kimatibabu wa baadaye.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

She blogs at Sacando la Lengua about languages, literature and interactions in society, and deeply believes in the uniqueness and importance of every culture, and in the study of them as a mirror to our own.

Swahili

Yeye huendesha blogu inayoitwa Sacando la Lengua inayohusu lugha, fasihi na miingiliano ya watu katika Jamii, na anaamini kabisa kwamba kila utamaduni ni wa pekee na ni muhimu sana, na kwamba tukijifunza tamaduni hizo tunapata kujiona wenyewe vizuri zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

You will not find any change in God’s practice, and you will not find any substitute to God’s practice.

Swahili

Basi hutapata mabadiliko katika mtindo wa Mwenyezi Mungu. Wala hutapata mageuko katika mwendo wa Mwenyezi Mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK